maramojatu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2012
- 1,749
- 2,319
Diclofenac kwa watoto wadogo?Mbona kuna declofenac za kuchomwa kwny mishipa...inatuliza homa in sec....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Diclofenac kwa watoto wadogo?Mbona kuna declofenac za kuchomwa kwny mishipa...inatuliza homa in sec....
Wamewah ila hii njia sikuwah kukutana nayoLinapokuja suala la dawa, sehemu yoyote ya mwili inaweza kuwa route of administration mkuu...
Kwa watoto, per rectal PCM ni common sana wala siyo kitu kigeni hasa hasa ukizingatia kupata mishipa kwa watoto ni kazi sana.
Umesema una watoto 3, ina maana hao wengine hawajawahi kupata joto kali maishani mwao?
Ni mwanangu wa kiume, wa 3 kuzaliwa and he is 5 years now.
Kuepusha maneno mengi ni kwamba muda huu yuko hospitali, na mama yake na baada ya diagnosis ikaonekana ana mchafuko wa damu na homa iko juu ana joto flan .
Baada ya kupata majib maabara na kumuona dokta akauliza
"AMESHAPEWA DAWA?".
Wife akasema HAPANA, DAWA GANI?
Dokta akamwambia "KWA JOTO HILO, ALIPASWA KUWEKEWA KIDONGE KATIKA NJIA YA HAJA KUBWA.
Bas wakiwa kwenye mazumgumzo nikapiga simu (mimi ni type ile ya watu kero wasumbufu hasa napo hisi ishu ni kubwa na mimi ndio nilipaswa kuwepo sasa ndio hivyo tena sipo, sasa huwa napiga sana simu kutaka kujua everything going on)
Wife akapokea akanipa hayo maelezo na ndio alikua anaelekea kutimiza huo utaratibu.
Nikauliza "KUSHUSHA HOMA NDIO LAZIMA KIDONGE KIWEKWE huko?"
akasema "NDIO NIMEAMBIWA HIVYO".
Nikasema "MWAMBIE DOKTA MUMEO KAKATAA, KAMA HAKUNA NAMNA NYINGINE BASI WAMWACHE TU, HIYO HOMA MPATIE PARACETAMOL"
AKASEMA SAWA.
Bahati mbaya sana kila mshkaj wangu ambaye ni dokta nikimpigia hapatikani au hapokei simu.
Nilitaka japo nipate consent zao kitaalam nijue japo sidhan kama ningekubal..atleast nilitaka tu kusikia wanasemaje?
Ndio hivyo wakuu NIMEGOMA.Mwanangu mwenyewe wa kiume ndio huyo huyo, wemgime wote watatu ni wakike, sasa waanze tena kumuweka vidongo njia ya hajakubwa viyeyukie humo halaf nini kitafuata.HAPANA KWAKWEL.
IMAWEZEKANA NIMEKOSEA ILA NDIO HIVYO, NIMEGOMA.
Unayembishia ndo anajua kuliko ewe,Kwa mwanangu ni sawa tu kuwa mjuaji. And by the wayg sitibiwi bure natumia pesa. Pia mimi sio kayumba nina reasoning yangu nzuri. Pia nina amin katika alternatives. Mimi sio mshirikina wa kila kitu TAWIREEEE. umenisoma kijana? Zaa wa kwako ukamsikilize dokta kwa kila kitu
IPO siku utajitia mwenyewe kidonge mkundhuni ndio utaanza kuijuwa dunia, bado hujakuwa.Ni mwanangu wa kiume, wa 3 kuzaliwa and he is 5 years now.
Kuepusha maneno mengi ni kwamba muda huu yuko hospitali, na mama yake na baada ya diagnosis ikaonekana ana mchafuko wa damu na homa iko juu ana joto flan .
Baada ya kupata majib maabara na kumuona dokta akauliza
"AMESHAPEWA DAWA?".
Wife akasema HAPANA, DAWA GANI?
Dokta akamwambia "KWA JOTO HILO, ALIPASWA KUWEKEWA KIDONGE KATIKA NJIA YA HAJA KUBWA.
Bas wakiwa kwenye mazumgumzo nikapiga simu (mimi ni type ile ya watu kero wasumbufu hasa napo hisi ishu ni kubwa na mimi ndio nilipaswa kuwepo sasa ndio hivyo tena sipo, sasa huwa napiga sana simu kutaka kujua everything going on)
Wife akapokea akanipa hayo maelezo na ndio alikua anaelekea kutimiza huo utaratibu.
Nikauliza "KUSHUSHA HOMA NDIO LAZIMA KIDONGE KIWEKWE huko?"
akasema "NDIO NIMEAMBIWA HIVYO".
Nikasema "MWAMBIE DOKTA MUMEO KAKATAA, KAMA HAKUNA NAMNA NYINGINE BASI WAMWACHE TU, HIYO HOMA MPATIE PARACETAMOL"
AKASEMA SAWA.
Bahati mbaya sana kila mshkaj wangu ambaye ni dokta nikimpigia hapatikani au hapokei simu.
Nilitaka japo nipate consent zao kitaalam nijue japo sidhan kama ningekubal..atleast nilitaka tu kusikia wanasemaje?
Ndio hivyo wakuu NIMEGOMA.Mwanangu mwenyewe wa kiume ndio huyo huyo, wemgime wote watatu ni wakike, sasa waanze tena kumuweka vidongo njia ya hajakubwa viyeyukie humo halaf nini kitafuata.HAPANA KWAKWEL.
IMAWEZEKANA NIMEKOSEA ILA NDIO HIVYO, NIMEGOMA.
Pole mkuu. Ila haikusaidii kuwa mchawi wa kiwango.. utaanza weweIPO siku utajitia mwenyewe kidonge mkundhuni ndio utaanza kuijuwa dunia, bado hujakuwa.
Tena utalazwa kitandaoni na daktari atavaa gloves na kuanza kukutia madole kutafuta ugonjwa umekudhuru kiasi gani.
Yaonesha una umri mchache hapa duniani.
Na mkapigwa madole? Alafu usipende kunitajataja fujo fujoKuna jamaa alijitolea kutupima tezi dume kwa kidole
Atapigwa madole hadi ajiulize hiki niniIPO siku utajitia mwenyewe kidonge mkundhuni ndio utaanza kuijuwa dunia, bado hujakuwa.
Tena utalazwa kitandaoni na daktari atavaa gloves na kuanza kukutia madole kutafuta ugonjwa umekudhuru kiasi gani.
Yaonesha una umri mchache hapa duniani.
Hivyo vidonge wanavyoweka mkunduni ni kwa ajili ya kutibu bawasili au mgoro, na ili kidonge kiingie mkunduni lazima ujipige dole au uombe mtu akuingize na kwenye kukuingiza lazima akupige dole ila kwa wewe hawatokuwekea vidonge watakupiga tu madole yaliyopakwa mafua subiri uzeeke tezi lako dume litutumuke waende kulipasua ndio utaelewa ukigoma wasikupige madole ili walipasue kifo hiki hapa, sasa unakubari kufa au unakubari kupiga madole?Pole mkuu. Ila haikusaidii kuwa mchawi wa kiwango.. utaanza wewe
Wewe ni eh? Yaani unakubali mvulana awekewe sehemu hiyo kisaniniNonsence kabisa, yaan daktari ana mprescribe mtoto unajifanya mjuaji, si ungebaki naye nyumbani umtibu mwenyewe
HapanaKwahiyo mgojwa kapona???
Mkuu,Shukran mkuu, mimi japo sipo bongo ila ndio nashangaa hadi leo ni kama kitu kigeni mtu anakataa route ya rectal kama tiba ya kushusha jotoridi la mwili.
Jotoridi linaweza chukuliwa kwenye mdomo, kikwapa na puru pia , sijui wamemchukua kwa njia ipi.
Kiukweli daktari nadhani hajamuambia tu kuwa hana IV acetaminophen/paracetamol ndio maana kaenda kwenye suppository.
Ila route nyingine kama vaginal [pessaries&tablets] siku huyu jamaa akikuta mkewe kaandikiwa either of those anatakiwa kuchomeka huko sijui itakuaje nadhani jamaa ataua daktari hahah.
Elimu muhimu watu wasifundishwe tu kuhusu condom hata tiba hizi za aina tofauti ambazo zinaweza kuwa na aibu kutokana na tamaduni.
Huku hizo pessaries,suppositories kawaida sana kutoa na mnaongea na mgonjwa bila kificho na kwa furaha tu.