Nimegonganisha mabwana kanisani, nimetoka mzima, wanaume watu wa ajabu sana

Nimeambulia patupu! Ngoja niendelee kusoma "comments" za wadau huenda nikaambua chochote.
 
Nimeambulia patupu! Ngoja iendelee kusoma "comments" za wadau huenda nikaambua chochote.
Njoo na huku
 
Nilishakwambia asubuhi tayari 😊😊😊
 
Kwani mpaka hapo hujui walikuwa wanataka nini hadi wakutongoze?

Ni kulowekwa tu hamna kingine.

Ndio maana waTanzania mmekuwa wa 5 duniani kwa kupenda dini. Kumbe ndio tabia zenu mmegeuza dini na makanisa vijiwe vya kukutania na wapenzi wenu.
 
Bora tukutanie kwa Yesu kuliko kwa shetani, kwa shetani unarekodiwa video
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…