Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
- #61
Sio kweliHahahah! Kwahiyo anatuvuruga tu akili za simulizi na maisha yake halisi ya ndoa?
Simulizi za watoto wa 2000
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweliHahahah! Kwahiyo anatuvuruga tu akili za simulizi na maisha yake halisi ya ndoa?
Mume amenifanya zaidi ya miaka 50 unataka afanye nini tenafanya ndio mume wako anakufanyia.wanawake mlivyo
Hizi ni za watoto wa 2010 kabisa 🤣🤣🤣Sio kweli
Simulizi za watoto wa 2000
Shikamoo Bibi?Mume amenifanya zaidi ya miaka 50 unataka afanye nini tena
Balaa chiefHizi ni za watoto wa 2010 kabisa 🤣🤣🤣
MarsabaaaShikamoo Bibi?
Labda atupatie majibu Money Penny huu ni muda wako wa kuhudumia ndoa? Au muda wa kutupatia simulizi wana JF.Mkuu mambo ni mbovu sana sasa hasa kwa Wanawake hivi kama una ndoa huu muda si wa kuhudumia familia?
Mume mwenzangu kashalala?Marsabaaa
Hata wazee tunazipenda , zinatusaidia kuvuta hisia kabla ya . . .Sio kweli
Simulizi za watoto wa 2000
Labda atupatie majibu Money Penny huu ni muda wako wa kuhudumia ndoa? Au muda wa kutupatia simulizi wana JF.
Mume mwenzangu kashalala?
Maana mjukuu wa kiume ni Mume ujue🤣🤣🤣
Hata wazee tunazipenda , zinatusaidia kuvuta hisia kabla ya . . .
Udipoolewa unaanza kumsumbua mwamposa,shubamitiMrembo: unajua Penny, nimefurahi umeanzisha youtube channel buana, sasa kuna ishu nataka nikupe
Money penny: enhe nambie mrembo
Mrembo: kuna wanaume wawili wananitaka,
Mmoja ni mtu mzima miaka 55 - Mpenzi A
Mwingine kijana miaka 35 - Mpenzi B
Kati ya hawa wawili wote siwaelewi,
Mwanzo Mpenzi A alinifukizia kwa mapenzi yote, baadae spidi ikaisha akapoa kabisa
Mpenzi B alianza kwa spidi sana, kadri nimemkazia akawa bado anataka tuwe wapenzi
Nikawaza sana ,nifanyaje nikaamua wote nikutane nao, nikalengesha waje kanisani wakaja
Mpenzi B akaja wa kwanza amewahi akaanzq kunitongoza wee, nikaona mpenzi B kama ametumwa na mpenzi A
Baada ya kutongozwa kwa dk 20 mpenzi A akaingia akatukuta tunaongea, mimi bila kupaniki nikamkaribisha mpenzi A nikamtambulisha kwa mpenzi B kuwa nae ananipenda na amekuja kunitongoza
Sasa kaeni hapo mniambie nani nimkubali kati yenu wawili
Wakakaa hapo money penny wananiangalia hawaelewi cha kufanya, baada ya dk 10 za kuduwaa, nikainuka nikaondoka kwenda nyumbani,
Mpaka leo nakuadithia hakuna hata mmoja alienitafuta ni wiki ya 3 sasa
Sielewi wanaume wanataka nini? Wanaume watu wa ajabu sana
Kweli mama kakunja suraaaaVijana hawarudii tena kurudia hizo michezo, mama mkali sana
Huu ni uongo bwanaMrembo: unajua Penny, nimefurahi umeanzisha youtube channel buana, sasa kuna ishu nataka nikupe
Money penny: enhe nambie mrembo
Mrembo: kuna wanaume wawili wananitaka,
Mmoja ni mtu mzima miaka 55 - Mpenzi A
Mwingine kijana miaka 35 - Mpenzi B
Kati ya hawa wawili wote siwaelewi,
Mwanzo Mpenzi A alinifukizia kwa mapenzi yote, baadae spidi ikaisha akapoa kabisa
Mpenzi B alianza kwa spidi sana, kadri nimemkazia akawa bado anataka tuwe wapenzi
Nikawaza sana ,nifanyaje nikaamua wote nikutane nao, nikalengesha waje kanisani wakaja
Mpenzi B akaja wa kwanza amewahi akaanzq kunitongoza wee, nikaona mpenzi B kama ametumwa na mpenzi A
Baada ya kutongozwa kwa dk 20 mpenzi A akaingia akatukuta tunaongea, mimi bila kupaniki nikamkaribisha mpenzi A nikamtambulisha kwa mpenzi B kuwa nae ananipenda na amekuja kunitongoza
Sasa kaeni hapo mniambie nani nimkubali kati yenu wawili
Wakakaa hapo money penny wananiangalia hawaelewi cha kufanya, baada ya dk 10 za kuduwaa, nikainuka nikaondoka kwenda nyumbani,
Mpaka leo nakuadithia hakuna hata mmoja alienitafuta ni wiki ya 3 sasa
Sielewi wanaume wanataka nini? Wanaume watu wa ajabu sana
Sasa kama wamekuona unaringa sana unataka waendelee kukutafuta wewe kama nani, wanawake wapo wengi kuliko wanaumeMrembo: unajua Penny, nimefurahi umeanzisha youtube channel buana, sasa kuna ishu nataka nikupe
Money penny: enhe nambie mrembo
Mrembo: kuna wanaume wawili wananitaka,
Mmoja ni mtu mzima miaka 55 - Mpenzi A
Mwingine kijana miaka 35 - Mpenzi B
Kati ya hawa wawili wote siwaelewi,
Mwanzo Mpenzi A alinifukizia kwa mapenzi yote, baadae spidi ikaisha akapoa kabisa
Mpenzi B alianza kwa spidi sana, kadri nimemkazia akawa bado anataka tuwe wapenzi
Nikawaza sana ,nifanyaje nikaamua wote nikutane nao, nikalengesha waje kanisani wakaja
Mpenzi B akaja wa kwanza amewahi akaanzq kunitongoza wee, nikaona mpenzi B kama ametumwa na mpenzi A
Baada ya kutongozwa kwa dk 20 mpenzi A akaingia akatukuta tunaongea, mimi bila kupaniki nikamkaribisha mpenzi A nikamtambulisha kwa mpenzi B kuwa nae ananipenda na amekuja kunitongoza
Sasa kaeni hapo mniambie nani nimkubali kati yenu wawili
Wakakaa hapo money penny wananiangalia hawaelewi cha kufanya, baada ya dk 10 za kuduwaa, nikainuka nikaondoka kwenda nyumbani,
Mpaka leo nakuadithia hakuna hata mmoja alienitafuta ni wiki ya 3 sasa
Sielewi wanaume wanataka nini? Wanaume watu wa ajabu sana
Yaani anavyoringa anaonekana tu hafai hata kuolewa atakuwa na dharau na kiburi huyoHii kiburi ndio uko nayo hadi kwenye ndoa?
Hao uliogonganisha wangekutwanga tu makofi hiyo kichwa.
🤣
Katika watakufuata si ndio?Na sisi tunachagua tunaempenda