Mkuu Kuna wakati watu (Hata madajari baadhi) wanachanganya sana kati ya Shingles na magonjwa mengine..
Magonjwa yanayofanana na Shingles
- Autoimmune blistering disease kama Bullous pemphigoid na Pemphigus vulgaris
- Herpes simplex virus Type 1 and 2 (HSV-1 and HSV-2)
- Dermatitis herpetiformis
- Hata reaction ya kuumwa na wadudu pia
Sasa Nakupa distinguish signs ya shingles ambayo hukuti kwenye Magonjwa hayo yote na yanayofanana nayo ambayo madaktri wengi huioverlook..
Ukiangalia rash most commonly lazima zionekane kwenye trunk along thoracic dermatome au kwenye uso Na muda wote Rashes hizo huwa hazi cross the body's midline..
Ukiona rashes imecross Midline hiyo hsiwezi kuwa shingles hata kama ina dalili sawa na shingles huenda ikawa Herpes Zingine kama HSV1 AU HSV2
Japo pia hutokea Shingles ila ni rare sana kwa mtu ambaye sio HIV