Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 24,606
- 39,289
Achana na mambo ya kugugo. Kapime kama unaUKIMWI anza kutumia ARV na kula vizuri. Ukiendelea kujizungusha utakufa kizembe Bwa mdogo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana na mambo ya kugugo. Kapime kama unaUKIMWI anza kutumia ARV na kula vizuri. Ukiendelea kujizungusha utakufa kizembe Bwa mdogo.
Mpaka naona lymph nodes zimetokezea mkuu kwenye paja karibu na mapumbuMkuu Lets Talk Logic..
Ni kweli kabisa Shingles Ni reactivation ya Chickenpox pale kinga ya mwili inaposhuka..
Nataka kukuuliza kitu Kinga ya mwili hushuka hata kwa Mtu mwenye Kisukari na Cancer..
Nataka uniambie Ni mtu gani mwenye cancer au Kisukari umewahi kumuona akiwa na Shingles bila kuwa na HIV??
Kapime ni kagonjwa ka kawaida ila kamepewa sana promoNiliamka saa kumi usiku baada ya kuona hizi wiki mbili naumwa Kila siku kichwa, nahara, kitambi chote kwishaaa mkanda nimetoboa matundu sita mpya mpaka sasa.
Nikaona kabisa huu ni ukimwi, kuchukua simu nikaingia gugo nikaandika dalili za ukimwi. Nimesoma naona zote ninazo mpaka kijipu upande wa paja karibu na korodani ninayo wanaita groin nodes.
Wakuu kupima naogopa Vibaya mno, nakumbuka mwaka 2010 niliwahi kupata mkanda wa jeshi naona hili Tena limekuja. Hii ngoma nimekuwa na stress Sana hata kazini kwenda nahisi uvivu.
Muda wote kichwa na misuli inauma nahisi kuchokaaa.
AiseeR.I.P
EphenNishawahi kupata dalili kama hizo kwa muda mrefu, mafua yasiokata, kikohozi homa na kupungua uzito
watu wakawa wanasema nikapime labda nimeukwaa
Dawa nyingi nikatumia hapo naogopa kwenda kupima,
Maza akaingia room akasafisha feni yangu vizuri sana, baada ya siku chache nikawa mzima.
AbeeEphen
[emoji3590][emoji3590]
Ndio hivyo pima tujue tatizo ni nini, huenda sio aidsWe mwamba unataka kuniingiza kwenye mtego 😂
Kwa sababu hana mkanda wa Jeshi na wala hakuwa nao..Madaktari sio kawaida kumtisha mgonjwa, vipi tena?
Kwa teacher mzee kuna vingi vilifichwa tuviache viindelee kufichwa mkuu ni hatari sana kuviweka waziLakin mbona ilisikika kwamba Teacher alipata mkanda wa jeshi?? Hili limekaaje?
Sio teacher huyu wa juz, teacher yule mkongwe.Kwa teacher mzee kuna vingi vilifichwa tuviache viindelee kufichwa mkuu ni hatari sana kuviweka wazi
Nyenyere?Sio teacher huyu wa juz, teacher yule mkongwe.
😂😂😂😂Mkuu huna huruma khbisaBwana mdogo ukimwi umekupiga mpaka umecopy avatar yangu, safi sana kumbe nakubalika kias hk inshalla
Kutopima hakusaidii wewe kupona Maradhi yako. Bora kupima ujijuwe unao Huo Ukimwi au hauna na hata kama unao huo ukimwi dawa ya kutibu huo Ugonjwa ipo nitafute mimi kwa wakati wako ili niweze kukutibia upate kupona maradhi yako uguwa pole.Niliamka saa kumi usiku baada ya kuona hizi wiki mbili naumwa Kila siku kichwa, nahara, kitambi chote kwishaaa mkanda nimetoboa matundu sita mpya mpaka sasa.
Nikaona kabisa huu ni ukimwi, kuchukua simu nikaingia gugo nikaandika dalili za ukimwi. Nimesoma naona zote ninazo mpaka kijipu upande wa paja karibu na korodani ninayo wanaita groin nodes.
Wakuu kupima naogopa Vibaya mno, nakumbuka mwaka 2010 niliwahi kupata mkanda wa jeshi naona hili Tena limekuja. Hii ngoma nimekuwa na stress Sana hata kazini kwenda nahisi uvivu.
Muda wote kichwa na misuli inauma nahisi kuchokaaa.
Sasa hapo unaona ujanja ni kukataa kwenda kufanya vipimo? Wakati ni suala la muda tu lazima utakubali tu matokeo kama ukiwa nao? Nenda kapime kama unao na ukakubali hali hiyo utaona tu unaishi kwa amani, na maisha yanaendaNiliamka saa kumi usiku baada ya kuona hizi wiki mbili naumwa Kila siku kichwa, nahara, kitambi chote kwishaaa mkanda nimetoboa matundu sita mpya mpaka sasa.
Nikaona kabisa huu ni ukimwi, kuchukua simu nikaingia gugo nikaandika dalili za ukimwi. Nimesoma naona zote ninazo mpaka kijipu upande wa paja karibu na korodani ninayo wanaita groin nodes.
Wakuu kupima naogopa Vibaya mno, nakumbuka mwaka 2010 niliwahi kupata mkanda wa jeshi naona hili Tena limekuja. Hii ngoma nimekuwa na stress Sana hata kazini kwenda nahisi uvivu.
Muda wote kichwa na misuli inauma nahisi kuchokaaa.
Mkuu Kuna wakati watu (Hata madaktari baadhi) wanachanganya sana kati ya Shingles na magonjwa mengine..Mkuu
Mkuu hii ni case ambayo ninaongelea mimi nina ushuhuda nayo.
Mwaka kama 2018 hivi nilipata hizi shingles, sister wangu mkubwa nikamuonesha akaguna kwanza kisha akasema hii ni herpes zoster. Hapo nina homa kali, vinawaka moto. Nikaenda kwa jamaa yangu daktari ana duka la dawa, kumuonesha akaniambia hizi ni herpes zoster, nikashusha pumzi akaniambia usiogope sio lazima uwe na ngoma, akaniuliza kama kuna dalili zozote za ajabu nikamjibu hakuna ndio vimejitokeza siku ya pili hiv ama ya 3 tena ghafla. Akanipa kipimo tukapima pale pale, majibu fresh, akanipa Acyclovir kama sikosei, nikaenda home kupaka, sikuridhika nikaemda hospital kubwa kwa vipimo zaidi, vipimo fresh, baada ya miezi mi3 nikaenda kupima tena fresh, nikaja pima tena fresh, mpaka naoa nikapim tena, mamsapu akapata KIBENDI kupima tena, majibu ni fresh.
Mbona ukiwa na infection zozote,hizo lymphnode hujitokeza mzee. Wala siyo issue ya ukimwiMpaka naona lymph nodes zimetokezea mkuu kwenye paja karibu na mapumbu
Niliamka saa kumi usiku baada ya kuona hizi wiki mbili naumwa Kila siku kichwa, nahara, kitambi chote kwishaaa mkanda nimetoboa matundu sita mpya mpaka sasa.