Nimegugo dalili zote UKIMWI, ninazo

Nimegugo dalili zote UKIMWI, ninazo

Mpaka naona lymph nodes zimetokezea mkuu kwenye paja karibu na mapumbu
Je Lymph nodes ziko Generalised..?
Maana yake ziko mwili mzima..kwenye kila node?

Kuwa na Enlarged Inguinal Lymphdenitis Pekee hakuwezi kukufanya uwe na HIV..

Lymphnodes mara nyingi huashiria mapambano eneo hilo huenda unamagonjwa ya zinaa au Sehemu za lowe trunk ku a vidonda au Infection..
Haihusiani na HIV..

Tena hata kwenye Consideration ya GLS au GLP (Generalises Lymphadenopath) huwa mara chache sana tuna consider Inguinal lymph nodes
 
One evening, my father said: My sonI’m dying and soon I’ll be goneBut before my final farewell:Hear me. And hear me wellDo whatever you want to doHave a plan or roll the diceBut one thing is strictly tabooPlease, follow my adviceNever google your symptomsThat is my only prescriptionYou get a hundred diagnosesAnd medieval prognosesEvery sign is a serious conditionIf you google “cough” and “diagnosis”You have got tuberculosisAnd if you google “fever and red”You’ve got Ebola and soon will be dead And if you google “I’ve a runny nose”It’s CSF. Your brain is leaking juice!And if you google itch and prognosis:Anaphylactic shock or psychosisSo never google your symptomsSeldom it brings any wisdomYou want to discoverBut you might uncover That you have an extra chromosomeSo this is what I heard my father sayAnd then he closed his eyes and passed awayThe autopsy report was very clearDeath from hypochondric fear Which is customWhen you google Your symptomsNever google your symptomsThe hit list is never awesomePain in your left arm?Heart attack alarm!Do you feel a little weak? Yes,You’ve got ALS!If you have a slight anemiaYou’ve got leukemia!Are you a little crazy?You’ve got ADHDSo never, ever googleYour symptoms!
 
Jioni moja, baba yangu alisema: Mwanangu
Ninakufa na hivi karibuni nitaondoka
Lakini kabla ya kuaga kwangu mwisho:
Nisikilizeni. Na unisikie vizuri
Fanya chochote unachotaka kufanya
Kuwa na mpango au tembeza kete
Lakini jambo moja ni mwiko madhubuti
Tafadhali, fuata ushauri wangu

Usiwahi google dalili zako
Hiyo ndiyo dawa yangu pekee
Unapata utambuzi mia moja
Na ubashiri wa medieval
Kila ishara ni hali mbaya

Ukigoogle "kikohozi" na "uchunguzi"
Una kifua kikuu
Na ukigoogle "homa na nyekundu"
Una Ebola na hivi karibuni utakufa
Na ukigoogle "Nina pua"
Ni CSF. Ubongo wako unavuja juisi!
Na ikiwa utatumia google itch na ubashiri:
Mshtuko wa anaphylactic au psychosis

Kwa hivyo usiwahi google dalili zako
Mara chache huleta hekima yoyote
Unataka kugundua
Lakini unaweza kufichua
Kwamba una kromosomu ya ziada

Hivyo ndivyo nilivyomsikia baba yangu akisema
Na kisha akafumba macho na kufa
Ripoti ya uchunguzi wa maiti ilikuwa wazi sana
Kifo kutokana na hofu ya hypochondric
Ambayo ni desturi
Unapo google
Dalili zako

Usiwahi google dalili zako
Orodha ya hit sio ya kushangaza kamwe
Maumivu katika mkono wako wa kushoto?
Kengele ya mshtuko wa moyo!
Je, unahisi dhaifu kidogo? Ndiyo,
Una ALS!
Ikiwa una anemia kidogo
Una leukemia!
Je, wewe ni wazimu kidogo?
Una ADHD
Kwa hivyo kamwe, kamwe google
Dalili zako!
 
Mkuu pole Sana

Ila usiogope HIV na usiogope Kifo

Ikiwa Una Umeme shukuru na uanze matibabu na Kama hauna shukuru pia.

Mimi Nina Imani utapona na utaendelea na majukumu yako Kama kawaida.

Huo mkanda wa jeshi Una dalili Kama za ukimwi Ila sio ukimwi ,pole Sana Mungu atakupa uzima
 
Siyo wewe tu unaeogopa kupima mwanangu mi siyo mtu wa mademu ila naogopa kupima ngoma kichizi , mishe mishe zangu zinanikutanisha na majeruhi kibao wanaovuja damu na mara nyingi huwa najikuta tayari nasaidia bila tahadhari baadae ndo nashtuka.

Juzi usiku nimeugua kinoma nikila hata punje ya mchele na vomit balaa hata maji fundo moja lazima yarudi + jasho kama nimemwagiwa ndoo ya maji.
Kulivyokucha nilivyofika hospital japo dalili zilikua kama malaria ila nikaanza kuogopa kupima maana kuna sehem unaweza kupimwa umeme bila kujua ukashangaa kwenye kupewa majibu ndo wanakwambia tulikupima na ngoma.

Ila uoga hausaidii kitu kapime ujue unaumwa nini ili upate matibabu
 
Mzee kwa 98% Wote wanaopata Shingles Lazima wana HIV..
Kwanini Imeitwa shingles kwa sababu ni Reactivation ya Chicken pox
Hii kauli yako ya 98% napingana nayo , kwa data zipi?, acheni kupanikisha watu, Kwamba asilimia 98 ya watu wote duniani wenye kinga pungufu ni HIV +???.
 
Niliamka saa kumi usiku baada ya kuona hizi wiki mbili naumwa Kila siku kichwa, nahara, kitambi chote kwishaaa mkanda nimetoboa matundu sita mpya mpaka sasa.

Nikaona kabisa huu ni ukimwi, kuchukua simu nikaingia gugo nikaandika dalili za ukimwi. Nimesoma naona zote ninazo mpaka kijipu upande wa paja karibu na korodani ninayo wanaita groin nodes.

Wakuu kupima naogopa Vibaya mno, nakumbuka mwaka 2010 niliwahi kupata mkanda wa jeshi naona hili Tena limekuja. Hii ngoma nimekuwa na stress Sana hata kazini kwenda nahisi uvivu.

Muda wote kichwa na misuli inauma nahisi kuchokaaa.
Cheki sukari kwanza
Sukari inapunguza mwili kwa haraka kuliko ugonjwa wowote

Ndani wiki tu unakuwa tofaut

Ila kama ile dalili ya kukojoa mara kwa mara unayo
Mkojo unapunguza sana uzito wa mwili
 
Back
Top Bottom