chakula cha watoto
JF-Expert Member
- Apr 25, 2023
- 539
- 1,507
- Thread starter
-
- #101
Nakojoa saaana kwa sababu nakunywa maji mengi mpkaa Lita Tano per dayCheki sukari kwanza
Sukari inapunguza mwili kwa haraka kuliko ugonjwa wowote
Ndani wiki tu unakuwa tofaut
Ila kama ile dalili ya kukojoa mara kwa mara unayo
Mkojo unapunguza sana uzito wa mwili
Yeah kweli Kabisa akacheck afyaHapana, kuugua mkanda wa jeshi sio lazima iwe ni ngoma.
Muhimu jamaa akapime tu.
Weakened immune system inaweza kusababisha hiyo hali ya kulipuka Kwa Chicken pox, lakini immune system inaweza kuathiriwa na mambo mengine ikiwemo stressful life style. Kila aliyewahi kuugua chicken pox akiyumbishwa immune system kwa namna anaweza kuibukiwa na shinglesMzee kwa 98% Wote wanaopata Shingles Lazima wana HIV..
Kwanini Imeitwa shingles kwa sababu ni Reactivation ya Chicken pox
Umesoma nilichoandika kabla ya kuandika chako..Hii kauli yako ya 98% napingana nayo , kwa data zipi?, acheni kupanikisha watu, Kwamba asilimia 98 ya watu wote duniani wenye kinga pungufu ni HIV +???.
maradhi kwa binadamu ni kawaida hilo ni Lazima ufahamu, na ni ulimbukeni kukata tamaa pasipo sababu 🐒Niliamka saa kumi usiku baada ya kuona hizi wiki mbili naumwa Kila siku kichwa, nahara, kitambi chote kwishaaa mkanda nimetoboa matundu sita mpya mpaka sasa.
Nikaona kabisa huu ni ukimwi, kuchukua simu nikaingia gugo nikaandika dalili za ukimwi. Nimesoma naona zote ninazo mpaka kijipu upande wa paja karibu na korodani ninayo wanaita groin nodes.
Wakuu kupima naogopa Vibaya mno, nakumbuka mwaka 2010 niliwahi kupata mkanda wa jeshi naona hili Tena limekuja. Hii ngoma nimekuwa na stress Sana hata kazini kwenda nahisi uvivu.
Muda wote kichwa na misuli inauma nahisi kuchokaaa.
MwagonaKama na mkanda wa jeshi uliumwa basi huo wenyewe
Nimeomba Report ya mtu yoyote aliyewahi kuyumbishwa na Mawazo mpaka akaugua Shingles..Weakened immune system inaweza kusababisha hiyo hali ya kulipuka Kwa Chicken pox, lakini immune system inaweza kuathiriwa na mambo mengine ikiwemo stressful life style. Kila aliyewahi kuugua chicken pox akiyumbishwa immune system kwa namna anaweza kuibukiwa na shingles
Niliamka saa kumi usiku baada ya kuona hizi wiki mbili naumwa Kila siku kichwa, nahara, kitambi chote kwishaaa mkanda nimetoboa matundu sita mpya mpaka sasa.
Nikaona kabisa huu ni ukimwi, kuchukua simu nikaingia gugo nikaandika dalili za ukimwi. Nimesoma naona zote ninazo mpaka kijipu upande wa paja karibu na korodani ninayo wanaita groin nodes.
Wakuu kupima naogopa Vibaya mno, nakumbuka mwaka 2010 niliwahi kupata mkanda wa jeshi naona hili Tena limekuja. Hii ngoma nimekuwa na stress Sana hata kazini kwenda nahisi uvivu.
Muda wote kichwa na misuli inauma nahisi kuchokaaa.
Mwagona,za umwinyu?Mwagona
Ondosha Hofu wasiwasi utakuuwaHofu itaniuwa
Mkuu achana na ishu za ku guglu! Kuugua mkanda wa Jeshi haimaanishi una ngoma. Kuna dogo nilikua naishi nae alidhoofu sana ingawa kila kitu alikua anapatiwa. Najua ni mawazo tu kwa sababu hakuwa na wazazi na kuishi ugenini hakuzoea.Niliamka saa kumi usiku baada ya kuona hizi wiki mbili naumwa Kila siku kichwa, nahara, kitambi chote kwishaaa mkanda nimetoboa matundu sita mpya mpaka sasa.
Nikaona kabisa huu ni ukimwi, kuchukua simu nikaingia gugo nikaandika dalili za ukimwi. Nimesoma naona zote ninazo mpaka kijipu upande wa paja karibu na korodani ninayo wanaita groin nodes.
Wakuu kupima naogopa Vibaya mno, nakumbuka mwaka 2010 niliwahi kupata mkanda wa jeshi naona hili Tena limekuja. Hii ngoma nimekuwa na stress Sana hata kazini kwenda nahisi uvivu.
Muda wote kichwa na misuli inauma nahisi kuchokaaa.
Unajikanyaga mwenyewe , nukuu ya maandishi yako;"Mzee kwa 98% Wote wanaopata Shingles Lazima wana HIV."Umesoma nilichoandika kabla ya kuandika chako..
Neno wote umelitoa wapi..
Ni hesabu za kiEpidemiologically na Biostaticaly..
nimesema hivi 98% ya wanaopata Shingle wana HIV..
Wewe hiyo ya 98% Ya watu duniami wenye Kinga pungufu wana HIV umeipata wapi?
Kwani aliwaambia kuwa Hali vzrMkuu wewe anza kula vizuri , fanya mazoezi, mrudie muumba wako.
Then kapime uanze dawa mapema.
Hakuna mahali nimejikanyaga..Unajikanyaga mwenyewe , nukuu ya maandishi yako;"Mzee kwa 98% Wote wanaopata Shingles Lazima wana HIV."
Hizo hesabu zinazosema ukiwa na shingles una HilIV tupe reference tukatoe ujinga
Nyinza mwanawaneMwagona,za umwinyu?
NzashambwiMwagona,za umwinyu?
Ata Kisukari kwa wengine dalili ni hizo hizo acha woga kapimeNiliamka saa kumi usiku baada ya kuona hizi wiki mbili naumwa Kila siku kichwa, nahara, kitambi chote kwishaaa mkanda nimetoboa matundu sita mpya mpaka sasa.
Nikaona kabisa huu ni ukimwi, kuchukua simu nikaingia gugo nikaandika dalili za ukimwi. Nimesoma naona zote ninazo mpaka kijipu upande wa paja karibu na korodani ninayo wanaita groin nodes.
Wakuu kupima naogopa Vibaya mno, nakumbuka mwaka 2010 niliwahi kupata mkanda wa jeshi naona hili Tena limekuja. Hii ngoma nimekuwa na stress Sana hata kazini kwenda nahisi uvivu.
Muda wote kichwa na misuli inauma nahisi kuchokaaa.
"Wakuu kupima naogopa Vibaya mno"Niliamka saa kumi usiku baada ya kuona hizi wiki mbili naumwa Kila siku kichwa, nahara, kitambi chote kwishaaa mkanda nimetoboa matundu sita mpya mpaka sasa.
Nikaona kabisa huu ni ukimwi, kuchukua simu nikaingia gugo nikaandika dalili za ukimwi. Nimesoma naona zote ninazo mpaka kijipu upande wa paja karibu na korodani ninayo wanaita groin nodes.
Wakuu kupima naogopa Vibaya mno, nakumbuka mwaka 2010 niliwahi kupata mkanda wa jeshi naona hili Tena limekuja. Hii ngoma nimekuwa na stress Sana hata kazini kwenda nahisi uvivu.
Muda wote kichwa na misuli inauma nahisi kuchokaaa.
Sawa, nashukuru mkuu, wakati ni ukuta, siwezi bisha sana huenda ungejionea mwenyewe ndio ungenieleza kwa utaalamu wako kile kilikuwa ni nini.Mkuu Kuna wakati watu (Hata madajari baadhi) wanachanganya sana kati ya Shingles na magonjwa mengine..
Magonjwa yanayofanana na Shingles
Sasa Nakupa distinguish signs ya shingles ambayo hukuti kwenye Magonjwa hayo yote na yanayofanana nayo ambayo madaktri wengi huioverlook..
- Autoimmune blistering disease kama Bullous pemphigoid na Pemphigus vulgaris
- Herpes simplex virus Type 1 and 2 (HSV-1 and HSV-2)
- Dermatitis herpetiformis
- Hata reaction ya kuumwa na wadudu pia
Ukiangalia rash most commonly lazima zionekane kwenye trunk along thoracic dermatome au kwenye uso Na muda wote Rashes hizo huwa hazi cross the body's midline..
Ukiona rashes imecross Midline hiyo hsiwezi kuwa shingles hata kama ina dalili sawa na shingles huenda ikawa Herpes Zingine kama HSV1 AU HSV2
Japo pia hutokea Shingles ila ni rare sana kwa mtu ambaye sio HIV