TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,999
- 24,328
Ndio maana Biblia inasema usiue, hatutakiwi kuuwa chochote kama hatukitumii kwa chakulaUsiue tena ndugu zako.
Sasa kama una urafiki na NYOKA tusemeje kaka? Again, ni ngumu kujua watu ulio waroga lakini tabia za Kichawi zinaonekanaga, ndio kama hizi zako sasa!
Kumbe ni kweli kabisa ugonjwa wa afya ya akili "ukichaa" upo huku dunia ya 3?Maishani mwangu nimekuwa nikiwaua nyoka kwa namna rahisi sana. Sikuwahi kujua kwanini nyoka wakiniona huwa wanaduwaa, na kubako kunishangaa.
Hata nikienda mbali kutafuta kitu cha kuwapigia nawakuta wapo tu hapo hapo, nawapiga, nawaua kisha najiona bonge la mwamba.
Sasa nimepata enlightment, nayaona mambo ambayo wengine hawayaoni, nayaona dhahiri.
Ni hivi ni kwamba kwenye past life yangu nilikuwa ni nyoka. Kwa sasa kwenye ubinadamu wangu huu, mimi ni nyota ya samaki.
Watu wa samaki ni watu wa rohoni sana na wanaishi maisha ya tofauti sana na watu wengi.
Wengi hamjui kwenye past life zenu mlikuwa ni nani, ila siku ukijua na ukajitambua, itakusaidia sana kujua kusidi lako la maisha.
Hakika ni tatizo kubwa sana. Serikali inasisitiza viongozi wa dini waiombee. Matatizo ya kiuchumi hayatatuliwi kwa maombi ila kwa mikakati thabiti ya kiuchumi.Tatizo la ajira ni janga kubwa sana, serikali ione namna ya kulitatua
Wachawi na nyoka hawapatani kabisa, wachawi wanapatana na bundi, mapaka nk. Nyoka sio kiumbe wa usiku, wala wa gizani ndio maana usiku hulala.Sasa kama una urafiki na NYOKA tusemeje kaka? Again, ni ngumu kujua watu ulio waroga lakini tabia za Kichawi zinaonekanaga, ndio kama hizi zako sasa!
Hakika, mimi ndiyeNi kitambo ninasikia kuwa kuna baadhi ya koo zina ushirika na wanyama k.m kinyonga, nyoka kwamba hata aingie ndani hadhuriwi wala hawamdhuru.
Akimaliza yake anaondoka kwa amani.
Sasa sijui nawe ni miongoni?
Matatizo ya afya ya akili yapo. Na takwimu zinaonyesha tatizo hilo kwa nchi yetu ni kubwa. Kwenye watu wanne, mmoja ana changamoto ya afya ya akili.Kumbe ni kweli kabisa ugonjwa wa afya ya akili "ukichaa" upo huku dunia ya 3?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Nimeanza kukuogopa ujue? Tuishie hapo hapo kaka. π π πWachawi na nyoka hawapatani kabisa, wachawi wanapatana na bundi, mapaka nk. Nyoka sio kiumbe wa usiku, wala wa gizani ndio maana usiku hulala.