Nimegundua asili yangu ni nyoka, sitaua nyoka, wala hawatonidhuru.

Nimegundua asili yangu ni nyoka, sitaua nyoka, wala hawatonidhuru.

Maishani mwangu nimekuwa nikiwaua nyoka kwa namna rahisi sana. Sikuwahi kujua kwanini nyoka wakiniona huwa wanaduwaa, na kubako kunishangaa.

Hata nikienda mbali kutafuta kitu cha kuwapigia nawakuta wapo tu hapo hapo, nawapiga, nawaua kisha najiona bonge la mwamba.

Sasa nimepata enlightment, nayaona mambo ambayo wengine hawayaoni, nayaona dhahiri.

Ni hivi ni kwamba kwenye past life yangu nilikuwa ni nyoka. Kwa sasa kwenye ubinadamu wangu huu, mimi ni nyota ya samaki.

Watu wa samaki ni watu wa rohoni sana na wanaishi maisha ya tofauti sana na watu wengi.

Wengi hamjui kwenye past life zenu mlikuwa ni nani, ila siku ukijua na ukajitambua, itakusaidia sana kujua kusidi lako la maisha.
Ninaamini past life ya Tlaatlaah, Lucas Mwashambwa , na chiembe ilikuwa CHAWA, au kunguni. Hawa jamaa wakiwaona chawa, au kunguni basi wawatunze ipasavyo.
 
Acha bangi Hakuna past life, biblia haifundi hivyo Wala kuraan , labda Kama mababu zako walifanya matambiko na wanaconnection na majini au mapepo ya majoka, anyway shetani aliitwa joka kwahiyo Hakuna uhusiano mzuri Kati ya nyoka na binadamu hata kwenye hekaya za wahindi.
Download biblia soma yote ukiwa bize Sana utaimaliza ndani ya miezi 6. Ukiijua kweli itakuweka huru.
Biblia Mara kadhaa imeongelea past life za watu. Mfalme Sauli alienda kuomba aamshiwe roho ya Samuel.

Yohana alikuwa ndiye Nabii Eliya

Biblia inasema hata Musa alimwinua nyoka wa shaba kule jangwani watu wakapata uzima.

Na kama vile Musa alivyomwinua yule nyoka jangwani, vivyo hivyo Mwana wa Adamu hana budi kuinuliwa; ili kila mtu aaminiye awe na uzima wa milele katika yeye. Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele. Maana Mungu hakumtuma Mwana ulimwenguni ili auhukumu ulimwengu, bali ulimwengu uokolewe katika yeye
 
Maishani mwangu nimekuwa nikiwaua nyoka kwa namna rahisi sana. Sikuwahi kujua kwanini nyoka wakiniona huwa wanaduwaa, na kubako kunishangaa.

Hata nikienda mbali kutafuta kitu cha kuwapigia nawakuta wapo tu hapo hapo, nawapiga, nawaua kisha najiona bonge la mwamba.

Sasa nimepata enlightment, nayaona mambo ambayo wengine hawayaoni, nayaona dhahiri.

Ni hivi ni kwamba kwenye past life yangu nilikuwa ni nyoka. Kwa sasa kwenye ubinadamu wangu huu, mimi ni nyota ya samaki.

Watu wa samaki ni watu wa rohoni sana na wanaishi maisha ya tofauti sana na watu wengi.

Wengi hamjui kwenye past life zenu mlikuwa ni nani, ila siku ukijua na ukajitambua, itakusaidia sana kujua kusidi lako la maisha.
Mh! Hii ndiyo nasikia leo
 
Back
Top Bottom