TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,999
- 24,328
- Thread starter
- #121
HakikaHapo kwenye nyota ya samaki kuna ukweli Fulani,
Sisi watu wa nyota ya samaki ni watu wa rohoni sana!
HakikaHapo kwenye nyota ya samaki kuna ukweli Fulani,
Sisi watu wa nyota ya samaki ni watu wa rohoni sana!
Ushirikina tuMaishani mwangu nimekuwa nikiwaua nyoka kwa namna rahisi sana. Sikuwahi kujua kwanini nyoka wakiniona huwa wanaduwaa, na kubako kunishangaa.
Hata nikienda mbali kutafuta kitu cha kuwapigia nawakuta wapo tu hapo hapo, nawapiga, nawaua kisha najiona bonge la mwamba.
Sasa nimepata enlightment, nayaona mambo ambayo wengine hawayaoni, nayaona dhahiri.
Ni hivi ni kwamba kwenye past life yangu nilikuwa ni nyoka. Kwa sasa kwenye ubinadamu wangu huu, mimi ni nyota ya samaki.
Watu wa samaki ni watu wa rohoni sana na wanaishi maisha ya tofauti sana na watu wengi.
Wengi hamjui kwenye past life zenu mlikuwa ni nani, ila siku ukijua na ukajitambua, itakusaidia sana kujua kusidi lako la maisha.
kivipi mkuu... .. tia nyama maelezo yako ... ..Hapo kwenye nyota ya samaki kuna ukweli Fulani,
Sisi watu wa nyota ya samaki ni watu wa rohoni sana!
SawasawaUshirikina tu
Dogo uwe na adabu kwa watu usiowajua. Niko JF since 2010. Nimemaliza chuo 2008, nikaajiriwa benki, nikafanya kazi miaka miwili nikaona ajira itanichelewesha sana kwenye safari yangu ya kimafanikio.Watu wa serikali jitahidini muongeze ajira zingne maana graduates hawana hata ideas za kujiajiri.
Usilete sasa u freemason wako hapaDogo uwe na adabu kwa watu usiowajua. Niko JF since 2010. Nimemaliza chuo 2008, nikaajiriwa benki, nikafanya kazi miaka miwili nikaona ajira itanichelewesha sana kwenye safari yangu ya kimafanikio.
Nikaamua kujiajiri. Miradi yangu imeajiri ajira za kudumu zaidi ya watu 100 na vibarua kama woote.
Hapa JF wengi nimewasaidia kuwapa mitaji ya kuanzisha biashara, mitaji ya kukuza biashara, nimekuwa nikiwalipia ada baadhi ya members, na wengine wamekuwa wakifanya kazi kwenye taasisi zangu, part time/ temporary na wengine wamepata ajira za kudumu.