Kondom moja tu ingezuia huu upumbavMaishani mwangu nimekuwa nikiwaua nyoka kwa namna rahisi sana. Sikuwahi kujua kwanini nyoka wakiniona huwa wanaduwaa, na kubako kunishangaa.
Hata nikienda mbali kutafuta kitu cha kuwapigia nawakuta wapo tu hapo hapo, nawapiga, nawaua kisha najiona bonge la mwamba.
Sasa nimepata enlightment, nayaona mambo ambayo wengine hawayaoni, nayaona dhahiri.
Ni hivi ni kwamba kwenye past life yangu nilikuwa ni nyoka. Kwa sasa kwenye ubinadamu wangu huu, mimi ni nyota ya samaki.
Watu wa samaki ni watu wa rohoni sana na wanaishi maisha ya tofauti sana na watu wengi.
Wengi hamjui kwenye past life zenu mlikuwa ni nani, ila siku ukijua na ukajitambua, itakusaidia sana kujua kusidi lako la maisha.
debonWachache Sana watakuelewa
Hii umeenda ukiwa na akili zako timamu au 😂😂😂Maishani mwangu nimekuwa nikiwaua nyoka kwa namna rahisi sana. Sikuwahi kujua kwanini nyoka wakiniona huwa wanaduwaa, na kubako kunishangaa.
Hata nikienda mbali kutafuta kitu cha kuwapigia nawakuta wapo tu hapo hapo, nawapiga, nawaua kisha najiona bonge la mwamba.
Sasa nimepata enlightment, nayaona mambo ambayo wengine hawayaoni, nayaona dhahiri.
Ni hivi ni kwamba kwenye past life yangu nilikuwa ni nyoka. Kwa sasa kwenye ubinadamu wangu huu, mimi ni nyota ya samaki.
Watu wa samaki ni watu wa rohoni sana na wanaishi maisha ya tofauti sana na watu wengi.
Wengi hamjui kwenye past life zenu mlikuwa ni nani, ila siku ukijua na ukajitambua, itakusaidia sana kujua kusidi lako la maisha.
Kasome upya Biblia yako bro, nyoka tumeamriwa tumuue tena kwa kuponda KICHWA kabisa; wanyama wengine tuachane nao ila huyo ni kuua tuNdio maana Biblia inasema usiue, hatutakiwi kuuwa chochote kama hatukitumii kwa chakula
We serpent umenipigia spana hapo nipo hapa nacheka hadi machozi…!! 😹😹😹Hakika, CCM imeshindwa kuboresha maisha ya watu wake, lakini hamna proof ya moja kwa moja kwamba CCM inawapa watu ukichaa. Ila inatia shaka sana ya utimamu wa akili pale unapoona baba mtu mzima kwa sababu ya kukosa ajira anaamua kujiita MamaSamia2025 ili tu asifie mtu apate mkate usiodumu.
Wengine kama Lucas Mwashambwa kuanzia asubuhi hadi jioni ni kumsifia tu mama, unajiuliza kazi anafanya saa ngapi? Jibu ni jepesi, he's jobless.
Wengine ndio hawataki hata jina "binadamu" wameamua kujiita CHAWA.
chawa wa mama ChawaWaMama
Asante sana kakaHongera kwa kufikia Enlightment
Upendo sana kwako kakaWe serpent umenipigia spana hapo nipo hapa nacheka hadi machozi…!! 😹😹😹
Haha haha haha unafahamu kwamba Yesu pia naye aliinuliwa kama nyoka?Kasome upya Biblia yako bro, nyoka tumeamriwa tumuue tena kwa kuponda KICHWA kabisa; wanyama wengine tuachane nao ila huyo ni kuua tu
Sijui wewe. Je uneshawahi kufikia level Gani ya kujitambua?Hii umeenda ukiwa na akili zako timamu au 😂😂😂
Mkuu, si ungesema tu kwamba wewe MCHAWI!
Hii umeenda ukiwa na akili zako timamu au 😂😂😂
Hakika.Kondom moja tu ingezuia huu upumbav
Kwenye sinema labdakama ujawah kutumiwa uchawi wa nyoka ya kamba basi utaamini wachawi na nyoka hawapatani
watu wanatumia hadi kuku, chura kuroga iwe nyoka
Karibu kwetu kakaKoboko🙄...okay