Punguza bangi. Asili yako ni uchiiiiMaishani mwangu nimekuwa nikiwaua nyoka kwa namna rahisi sana. Sikuwahi kujua kwanini nyoka wakiniona huwa wanaduwaa, na kubako kunishangaa.
Hata nikienda mbali kutafuta kitu cha kuwapigia nawakuta wapo tu hapo hapo, nawapiga, nawaua kisha najiona bonge la mwamba.
Sasa nimepata enlightment, nayaona mambo ambayo wengine hawayaoni, nayaona dhahiri.
Ni hivi ni kwamba kwenye past life yangu nilikuwa ni nyoka. Kwa sasa kwenye ubinadamu wangu huu, mimi ni nyota ya samaki.
Watu wa samaki ni watu wa rohoni sana na wanaishi maisha ya tofauti sana na watu wengi.
Wengi hamjui kwenye past life zenu mlikuwa ni nani, ila siku ukijua na ukajitambua, itakusaidia sana kujua kusidi lako la maisha.
Umejuaje ulikuwa nyokaa???Maishani mwangu nimekuwa nikiwaua nyoka kwa namna rahisi sana. Sikuwahi kujua kwanini nyoka wakiniona huwa wanaduwaa, na kubako kunishangaa.
Hata nikienda mbali kutafuta kitu cha kuwapigia nawakuta wapo tu hapo hapo, nawapiga, nawaua kisha najiona bonge la mwamba.
Sasa nimepata enlightment, nayaona mambo ambayo wengine hawayaoni, nayaona dhahiri.
Ni hivi ni kwamba kwenye past life yangu nilikuwa ni nyoka. Kwa sasa kwenye ubinadamu wangu huu, mimi ni nyota ya samaki.
Watu wa samaki ni watu wa rohoni sana na wanaishi maisha ya tofauti sana na watu wengi.
Wengi hamjui kwenye past life zenu mlikuwa ni nani, ila siku ukijua na ukajitambua, itakusaidia sana kujua kusidi lako la maisha.
ooh maskini maisha yanachanganya ona huyu ghafla amekuwa nyoka😂😂Maishani mwangu nimekuwa nikiwaua nyoka kwa namna rahisi sana. Sikuwahi kujua kwanini nyoka wakiniona huwa wanaduwaa, na kubako kunishangaa.
Hata nikienda mbali kutafuta kitu cha kuwapigia nawakuta wapo tu hapo hapo, nawapiga, nawaua kisha najiona bonge la mwamba.
Sasa nimepata enlightment, nayaona mambo ambayo wengine hawayaoni, nayaona dhahiri.
Ni hivi ni kwamba kwenye past life yangu nilikuwa ni nyoka. Kwa sasa kwenye ubinadamu wangu huu, mimi ni nyota ya samaki.
Watu wa samaki ni watu wa rohoni sana na wanaishi maisha ya tofauti sana na watu wengi.
Wengi hamjui kwenye past life zenu mlikuwa ni nani, ila siku ukijua na ukajitambua, itakusaidia sana kujua kusidi lako la maisha.
Thibitisha ni mstari Gani huu?????Yohana alikuwa ndiye Nabii Eliya
Mkuu, si ungesema tu kwamba wewe MCHAWI!
sinema wapKwenye sinema labda
Mara ya mwisho umepima lini maleriaMaishani mwangu nimekuwa nikiwaua nyoka kwa namna rahisi sana. Sikuwahi kujua kwanini nyoka wakiniona huwa wanaduwaa, na kubako kunishangaa.
Hata nikienda mbali kutafuta kitu cha kuwapigia nawakuta wapo tu hapo hapo, nawapiga, nawaua kisha najiona bonge la mwamba.
Sasa nimepata enlightment, nayaona mambo ambayo wengine hawayaoni, nayaona dhahiri.
Ni hivi ni kwamba kwenye past life yangu nilikuwa ni nyoka. Kwa sasa kwenye ubinadamu wangu huu, mimi ni nyota ya samaki.
Watu wa samaki ni watu wa rohoni sana na wanaishi maisha ya tofauti sana na watu wengi.
Wengi hamjui kwenye past life zenu mlikuwa ni nani, ila siku ukijua na ukajitambua, itakusaidia sana kujua kusidi lako la maisha.
Shukrani mkuuKaribu kwetu kaka
Tupe maelekezo sasa jinsi ya kutambua mkuuMaishani mwangu nimekuwa nikiwaua nyoka kwa namna rahisi sana. Sikuwahi kujua kwanini nyoka wakiniona huwa wanaduwaa, na kubako kunishangaa.
Hata nikienda mbali kutafuta kitu cha kuwapigia nawakuta wapo tu hapo hapo, nawapiga, nawaua kisha najiona bonge la mwamba.
Sasa nimepata enlightment, nayaona mambo ambayo wengine hawayaoni, nayaona dhahiri.
Ni hivi ni kwamba kwenye past life yangu nilikuwa ni nyoka. Kwa sasa kwenye ubinadamu wangu huu, mimi ni nyota ya samaki.
Watu wa samaki ni watu wa rohoni sana na wanaishi maisha ya tofauti sana na watu wengi.
Wengi hamjui kwenye past life zenu mlikuwa ni nani, ila siku ukijua na ukajitambua, itakusaidia sana kujua kusidi lako la maisha.
Sawa mkuu nisamehe sikudhamiria kukuudhi nilikuwa natest mitambo tuHakika.
Juzi ulikuwa Zero Brain Leo ni ZILLIONAIRE .
Kati yangu na wewe yupo pumbavu Mmoja.
Zero brain ni ubongo sifuri, Zillionaire ni aibu nyingine, hamna namba inaitwa zillion, sasa wewe ukadhani mtu akiupita UTAJIRI wa trillion anaingia kwenye zillion.
Jifunze kuwajibu wenzako kwa nidhami na adabu, hata kama hukunaliani na machapisho yao.
Sijaudhika kaka, nilikuwa nakuamsha tuSawa mkuu nisamehe sikudhamiria kukuudhi nilikuwa natest mitambo tu
🤣😂😅🔥Aya, mnaotetea bangi njooni huku muone madhara yake.
Asante kwa kuchangia.Mkisha shiba maharage yaliyochacha na kiporo basi akili inakuwa kama imelewa hivi. Mnakuja anzisha uzi