Sio kitu cha kujifunza kwa dakika mbili, ni mchakato mrefu unatumika, na pia hadi ufikie kileleni kwenye unururisho/ enlightment unahitaji uvumilivu, kujikinai, kujitesa, kufunga, kujitenga, tahajudi nkNipe mbinu ya kujijua nilikuwa nani kwenye past life yangu
Ninaamini past life ya Tlaatlaah, Lucas Mwashambwa , na chiembe ilikuwa CHAWA, au kunguni. Hawa jamaa wakiwaona chawa, au kunguni basi wawatunze ipasavyo.Maishani mwangu nimekuwa nikiwaua nyoka kwa namna rahisi sana. Sikuwahi kujua kwanini nyoka wakiniona huwa wanaduwaa, na kubako kunishangaa.
Hata nikienda mbali kutafuta kitu cha kuwapigia nawakuta wapo tu hapo hapo, nawapiga, nawaua kisha najiona bonge la mwamba.
Sasa nimepata enlightment, nayaona mambo ambayo wengine hawayaoni, nayaona dhahiri.
Ni hivi ni kwamba kwenye past life yangu nilikuwa ni nyoka. Kwa sasa kwenye ubinadamu wangu huu, mimi ni nyota ya samaki.
Watu wa samaki ni watu wa rohoni sana na wanaishi maisha ya tofauti sana na watu wengi.
Wengi hamjui kwenye past life zenu mlikuwa ni nani, ila siku ukijua na ukajitambua, itakusaidia sana kujua kusidi lako la maisha.
gentleman,
Biblia Mara kadhaa imeongelea past life za watu. Mfalme Sauli alienda kuomba aamshiwe roho ya Samuel.Acha bangi Hakuna past life, biblia haifundi hivyo Wala kuraan , labda Kama mababu zako walifanya matambiko na wanaconnection na majini au mapepo ya majoka, anyway shetani aliitwa joka kwahiyo Hakuna uhusiano mzuri Kati ya nyoka na binadamu hata kwenye hekaya za wahindi.
Download biblia soma yote ukiwa bize Sana utaimaliza ndani ya miezi 6. Ukiijua kweli itakuweka huru.
Basi wewe ulikuwa huwa / dove.Aisee,basi Mimi nilikuwa wanyama wote.... maana hakuna mnyama nisiye na huruma nae
Na kama hakihatarishi maisha yako.Ndio maana Biblia inasema usiue, hatutakiwi kuuwa chochote kama hatukitumii kwa chakula
Na analiwa sana na mapaka pori. Anatafunwa hadi mifupa yanaachwa manyoya tu.Basi wewe ulikuwa huwa / dove.
Huwa ametumika kama alama ya upendo na pia ametumika kama alama ya Roho Mtakatifu
AminaBasi wewe ulikuwa huwa / dove.
Huwa ametumika kama alama ya upendo na pia ametumika kama alama ya Roho Mtakatifu
Dah, mkuu Sio kwamba baada ya hapa unachanganyikiwa?Sio kitu cha kujifunza kwa dakika mbili, ni mchakato mrefu unatumika, na pia hadi ufikie kileleni kwenye unururisho/ enlightment unahitaji uvumilivu, kujikinai, kujitesa, kufunga, kujitenga, tahajudi nk
Barikiwa sanaAmina
Mh! Hii ndiyo nasikia leoMaishani mwangu nimekuwa nikiwaua nyoka kwa namna rahisi sana. Sikuwahi kujua kwanini nyoka wakiniona huwa wanaduwaa, na kubako kunishangaa.
Hata nikienda mbali kutafuta kitu cha kuwapigia nawakuta wapo tu hapo hapo, nawapiga, nawaua kisha najiona bonge la mwamba.
Sasa nimepata enlightment, nayaona mambo ambayo wengine hawayaoni, nayaona dhahiri.
Ni hivi ni kwamba kwenye past life yangu nilikuwa ni nyoka. Kwa sasa kwenye ubinadamu wangu huu, mimi ni nyota ya samaki.
Watu wa samaki ni watu wa rohoni sana na wanaishi maisha ya tofauti sana na watu wengi.
Wengi hamjui kwenye past life zenu mlikuwa ni nani, ila siku ukijua na ukajitambua, itakusaidia sana kujua kusidi lako la maisha.
Hapana , huchanganyikiwi, unalitambua kusudi la maisha yako haya ya sasa. Utakuwa ukiishi maisha ya kutimiza kusudi la uwepo wako.Dah, mkuu Sio kwamba baada ya hapa unachanganyikiwa?
Vyema sana Binti Sayuni03 utajifunza taratibuMh! Hii ndiyo nasikia leo
Naomba unielekeze na mimi niijue hii elimuVyema sana Binti Sayuni03 utajifunza taratibu
Mfano wa kusudi inaweza kuwa nini?Hapana , huchanganyikiwi, unalitambua kusudi la maisha yako haya ya sasa. Utakuwa ukiishi maisha ya kutimiza kusudi la uwepo wako.