Nimegundua Bahati Ina mchango mkubwa kwenye Maisha yetu

Nimegundua Bahati Ina mchango mkubwa kwenye Maisha yetu

Huko kutrap ndio kuuchezesha mfumo napokusemea mimi, so unaweza ukawa trapped usifikie hatma uliopangiwa?
But sio mfumo wa dunia ila mfumo wa hatima yako wewe na kujikuta unakua daraja kwenye kutimiza hatima ya mtu mwingine bila kupenda
 
So unahitaji kuipambania hatma yako sio?
Yeah ili uwe mshindi na utoke ndani ya mfumo ni lazima upambane na utimize lilekusudio la wewe kuwa hapa duniani, ukishalitimiza mwili utashuka ardhini roho itaenda mahala ambapo inastahiri kwenda.
 
Kweli bahati ipo ila haina mana tusipambane kuisubr bahati, kazi+bahati =mafanikio
 
Nasemaje, its all depend on how you attract your luck, huyo unayemuona hana bahati au bahati yake bado haijafika anaweza kuchange his thoughts and soon enough akawa ana vingi kuliko huyo unayemuona ana bahati, it's all subconscious. You become as you are, na ndio maana ya ile scripture 'mwenye nacho ataongezewa na kama unaona huna hata kidogo ulichonacho utakapokonywa.
Well said
 
Legal or illegal, lucky or unlucky i must be a billionaire [emoji725] 2030
 
Hili swala nilikuwa nalijua ila leo baada ya message fulani hivi kutumiwa na kijana mdogo ambaye nilizoeana naye ambapo alikuwa mfanya usafi ofisini, baadae alipata kazi sehemu nyengine ila kwa wakati kadhaa alikuwa ananipigia simu na kunipiga vizinga.

Sababu nilikuwa najua hali yake, nikawa nampa tafu ila sometimes huwa namzingua kuhusu tabia yake. Ila leo nilivomchallenge kuhusu tabia yake ya kuomba omba alinipa jibu deep na la kutafakari sana.


Alivhoniambia anapambana na Hana Bahati nilitamani kulia sababu ni kweli anapambana sana. Kuna wenzake kama yeye ila atleast wanajitahidi ila yeye pekee ndio analia njaa. Usijione mjanja jua kuwa una Bahati.
Hakika
 
Back
Top Bottom