Thecoder
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 1,590
- 4,244
Kila kitu kilishapangwa kwenye hatima ya kila mtu ila shida ni kwamba dunia ni sehemu ya majaribio kwahiyo kuna mchanganyiko wa vita amani chuki na kadhalika.Hakuna bahati hapa duniani, kila kitu kilisha pangwa na kila mtu anapata anacho stahili.
so kuna watu wengine huwa wanapata changamoto ya kuyumbishwa huku na huku hadi kujikuta wanashindwa kuziona au kuzijua zile njia zitakazo wapeleka kwenye hatima yao na wengine hawakutani na hizi challenges so unakuta mapema tu mtu anapata mwanga wa kuzipita zile njia zinazompeleka moja kwa moja kwenye hatima yake.
Na hii ndio huitwa bahati.
NB: hakikisha una D mbili ili uweze kuelewa.