Nimegundua Bahati Ina mchango mkubwa kwenye Maisha yetu

Huko kutrap ndio kuuchezesha mfumo napokusemea mimi, so unaweza ukawa trapped usifikie hatma uliopangiwa?
But sio mfumo wa dunia ila mfumo wa hatima yako wewe na kujikuta unakua daraja kwenye kutimiza hatima ya mtu mwingine bila kupenda
 
So unahitaji kuipambania hatma yako sio?
Yeah ili uwe mshindi na utoke ndani ya mfumo ni lazima upambane na utimize lilekusudio la wewe kuwa hapa duniani, ukishalitimiza mwili utashuka ardhini roho itaenda mahala ambapo inastahiri kwenda.
 
Kweli bahati ipo ila haina mana tusipambane kuisubr bahati, kazi+bahati =mafanikio
 
Well said
 
Legal or illegal, lucky or unlucky i must be a billionaire [emoji725] 2030
 
Hakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…