Nimegundua Bashe hajui maana ya Food Security

Meanwhile balozi wetu Japan anakinga bakuli kupata msaada wa hela za kununulia chakula kwani korona na vita ya Ukraine havijatuacha salama
 
Meanwhile balozi wetu Japan anakinga bakuli kupata msaada wa hela za kununulia chakula kwani korona na vita ya Ukraine havijatuacha salama
 
wakulima wanaponunua mbolea shilingi 170,000 kwa mfuko wa kg 50 mbona hukujitokeza kulisemea. Acha wakulima wafaidi jasho lao kwa kuuza mazao yao mahali popote kwa bei wanayoitaka.
Mkulima gani anayeuza mazao yake bei yajuu ilikufidia cost!?? Mnashindwa kutofautisha kati ya mfanyabiashara na mkulima,hapo ndo tatizo linapoanzia.
 
hvi kwenye id hakunaga namna ya kuongeza namba za simu
 

Kama hiyo ndiyo tafsiri ya food security basi Bashe ni mjuzi na mjuvi zaidi yako. Kwasababu:-
.1. Tanzania kuna chakula cha kutosha (food availability) na kila mtu anaweza kukinunua bila masharti Wlwala zengwe (food accessibility).
2. Wewe ndiye umechanganya mambo kwa vile uwezo wa kumudu gharama za chakula (food affordability) siyo component ya food security.
 
Food affordability ni component ya food security. Usipo afford chakula utakufa, Food security haishii kwenye availability tu. Unaweza ukawa unakiona lakini huwezi kukinunua. Changamka.
 
Kama kuna kenge ni pamoja na watu kama hii kenge hapa.

Wanaosafirisha mazao nje ni wa wachuuzi na si wakulima.Wakulima wanauza kwa bei ya kunyonywa sana.Ila kwa vile ni kenge haitanielewa
Wewe ndo mjinga unafikiri huyo mchuuzi kaenda kuyazoa tu kwa mkulima?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…