Nimegundua haya baada ya kipindi kifupi cha kufanya kazi na Wahindi

Nimegundua haya baada ya kipindi kifupi cha kufanya kazi na Wahindi

Abdul kalaam

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2017
Posts
441
Reaction score
565
Siku za karibuni nilibahatika kuanza kufanya kazi na jamii ya wahindi katika kipindi hiki kifupi nimejifunza vitu vingi haswa tabia zao.

1. Wahindi ni watu wenye akili mno (genius)

2. Wahindi watu wenye kufanya vitu vyao kwa haraka haraka tofauti na sisi wabongo.

3. Walalamishi mno, watakulalamikia hata kama umefanya kosa la kibinadamu ambalo hata yeye anaweza akalifanya.

4. Wabahili mno

5. Hawana huruma

Tupe uzoefu wako kama ulishawahi kufanya kazi na Wahindi
 
Kuna daktari mhindi, ni mmoja kati ya wale top doctors. Ananunua bidhaa gengeni tena anakwenda mwenyewe na kapu lake. Waswahili walio chini yake wana nunua bidhaa supermarkt.
Bidhaa za supermarket sio zote ni expensive kuliko za magengeni au kwa mangi. Ondoa hiyo mentality.

Fanya research kidogo kwa bidhaa za vinywaji utaona.
 
Hizi jamii za hawa watu Wahindi na Waarabu zimewanyonya sana Watanzania na kuwafanya masikini tena kimyakimya huku wakijifanya nao ni watanzania huku wakichuma na kuiba hapa na mali kuzihamisha.

Kuna haja ya hawa watu kuangaliwa kwa jicho kali na kuwekewa sheria kali ili sasa waishi kama watanzania kweli na sio hiki comedy wanayoifanya.
 
Hizi jamii za hawa watu wahindi na waarabu zimewanyonya sana watanzania na kuwafanya masikini tena kimyakimya huku wakijifanya nao ni watanzania huku wakichuma na kuiba hapa na mali kuzihamisha...kuna haja ya hawa watu kuangaliwa kwa jicho kali na kuwekewa sheria kali ili sasa waishi kama watanzania kweli na sio hiki comedy wanayoifanya...e
Sio kweli,wezi wa mali ya umma wote ni ccm na wapo Ikulu,hakuna muhindi,Wala mwarabu,Wezi wa escrow,Richmond hakuna mwarabu,
 
Back
Top Bottom