Nimegundua haya baada ya kipindi kifupi cha kufanya kazi na Wahindi

Nimegundua haya baada ya kipindi kifupi cha kufanya kazi na Wahindi

Siku za karibuni nilibahatika kuanza kufanya kazi na jamii ya wahindi katika kipindi hiki kifupi nimejifunza vitu vingi haswa tabia zao.

1. Wahindi ni watu wenye akili mno(genius)

2. Wahindi watu wenye kufanya vitu vyao kwa haraka haraka tofauti na sisi wabongo.

3. Walalamishi mno, watakulalamikia hata kama umefanya kosa la kibinadamu ambalo hata yeye anaweza akalifanya.

4. Wabahili mno

5. Hawana huruma

Tupe uzoefu wako kama ulishawahi kufanya kazi na wahindi
Wana PhD ya kumanage biashara hata kama ameishia s.t.d 4... Very bright... Wanalenga KUFANIKIWA wao na wewe MFANYAKAZI uwe maskin milele.. yaan ufanye kazi kwao milele... WASHENZI sana
 
Siku za karibuni nilibahatika kuanza kufanya kazi na jamii ya wahindi katika kipindi hiki kifupi nimejifunza vitu vingi haswa tabia zao.

1. Wahindi ni watu wenye akili mno(genius)

2. Wahindi watu wenye kufanya vitu vyao kwa haraka haraka tofauti na sisi wabongo.

3. Walalamishi mno, watakulalamikia hata kama umefanya kosa la kibinadamu ambalo hata yeye anaweza akalifanya.

4. Wabahili mno

5. Hawana huruma

Tupe uzoefu wako kama ulishawahi kufanya kazi na wahindi
Wahindi siyo kuwa wanaakili Sana sema Tu pilipili zao zinawafeva Sana kuwa wepesi wa kufikiri na kufanya mambo.

Wananyanyasa Sana hata wao Kwa wao wao

Waongo waongo Sana

Wanapenda kuhonga Sana watu wa ngazi za juu Kwa ajiri ya kunyoosha mambo Yao

.
 
Umewapimaje na kuona wana akili sana?
Au wana akili ukilinganisha na watu wepi?
 
Bidhaa za supermarket sio zote ni expensive kuliko za magengeni au kwa mangi. Ondoa hiyo mentality.

Fanya research kidogo kwa bidhaa za vinywaji utaona.
Na vipi kuhusu raw foods?achana na hizo processed products.
Linganisha bei ya matunda,Fish,mbogamboga kati ya supermarket na gengeni halafu utuletee mrejesho
 
Back
Top Bottom