Siku za karibuni nilibahatika kuanza kufanya kazi na jamii ya wahindi katika kipindi hiki kifupi nimejifunza vitu vingi haswa tabia zao.
1. Wahindi ni watu wenye akili mno (genius)
2. Wahindi watu wenye kufanya vitu vyao kwa haraka haraka tofauti na sisi wabongo.
3. Walalamishi mno, watakulalamikia hata kama umefanya kosa la kibinadamu ambalo hata yeye anaweza akalifanya.
4. Wabahili mno
5. Hawana huruma
Tupe uzoefu wako kama ulishawahi kufanya kazi na Wahindi
Nimesoma na wahindi, nimefanya kazi na wahindi, mara ya kwanza nikiwa shule ya msingi, kulikuwa na Muhindi akija kwa kazi za Marketing kila wakati akija nilikuwa naongozana naye, Nimejifunza yafuatayo,
1.Wahindi ni watu wachunguzi sana, wanachunguza kila kitu
2.Wahindi wanadharau waafrika sana sana
3.Muhindi aliyekulia India ni mara 100 ya Muhindi wa Bongo asili
4.Wahindi ni watu waoga sana
5.Wahindi wana tabaka
6.Muhindi akikuamini hata mkewe anakuachia
7.Ukielewana na Mke wa Muhindi kuliko Mume kila unachoomba kwa Mume utapewa, Mama akisema mume anatekeleza pia
8.Wahindi ni wachafu sana
9.Mke anaogopwa kuliko ukoma
10.Umbea ni tabia yao
11.Kwenye biashara familia yote inahusika.