Ni kweli kabisa kwao wanadhulumiana, kama ambavyo Waafrika hudhulumiana nyumbani na Ughaibuni, kama ambavyo Wazungu walidhulumiana na wanaendelea kudhulumiana Makwao na hapa Afrika, Kama ambavyo Wachina wanadhulumiana, kama ambavyo wajapan hudhulumiana, kma ambavyo Waarabu hudhulumiana na kama ambavyo Wayahudi hudhulumiana.
Ukweli ni kwamba ktk Jamii zote ulimwenguni wapo wadhulumati na wapo wenye roho safi...
Haijalishi mtu anatoka wapi aidha iwe Luanda au London, Baghdad au Berlin, New york au New Delhi, Tehran au Tel Aviv, popote pale watu wema wapo na wabaya wapo.