Nimegundua haya baada ya kipindi kifupi cha kufanya kazi na Wahindi

Nimegundua haya baada ya kipindi kifupi cha kufanya kazi na Wahindi

Ni wabaguzi sana jamaa, wanahospital zao, benk, shule nk Nyumba zote za msajiri wametufukuza waswahili

aina yao ya maisha wanayoishi kila jamii duniani ikiamua kuishi hivyo basi dunia haiwezi kuwepo na hakuna maana ya maisha..Mungu hakuumba dunia tuishi wanavyoishi wao..
 
Siku za karibuni nilibahatika kuanza kufanya kazi na jamii ya wahindi katika kipindi hiki kifupi nimejifunza vitu vingi haswa tabia zao.

1. Wahindi ni watu wenye akili mno (genius)

2. Wahindi watu wenye kufanya vitu vyao kwa haraka haraka tofauti na sisi wabongo.

3. Walalamishi mno, watakulalamikia hata kama umefanya kosa la kibinadamu ambalo hata yeye anaweza akalifanya.

4. Wabahili mno

5. Hawana huruma

Tupe uzoefu wako kama ulishawahi kufanya kazi na Wahindi

Haitatokea bosi wangu awe mhindi au ngozi nyeusi.
 
Yanatuzidi akili bwana, hebu tuwe wakweli.

Hao jamaa wana maarifa na ni wajanja kutuzidi mbali.

Top ten ya matajiri wa nchi hii ni wahindi.hakuna mweusi hata mmoja.

Mhindi ndio ameihold sekta binafs ya tanzania.
kwa maana kwamba biashara zozote kubwa (multi-bilion) ktk nchi hii ni zao.

Ili biashara yako inawiri pale kwny management toa mswahili weka mdosi.

Mhindi ndiye anayekuajiri na kuamua kula yako ktk nchi yako ya asili.

Viwanda ktk mikoa almost yote ni mali yao.

Benki za ndani humfikiria kumkopesha mhindi kuliko mswahili

Mhindi ndio mnunuzi mkuu wa kahawa zenu, korosho zenu, pamba yenu nk

Ukimkuta mhindi ni tajiri leo..ondoka njoo baada ya nusu karne (kama utajaliwa) utakuta bado tajiri vilevile yeye au descendands wake.

Kwa maana nyingne Sisi ni wajisiriamali wahindi ni wafanya biashara.

Sisi ni daraja la wao kufanikiwa
Huwezi kukuta mhindi ni VEO au mwalimu au askari serikalini japo ni watz.
wao wamekamata njia kuu za uchumi
Utajiri ni suala la historia kabla ya uhuru tayari wao ni matajiri
 
Mkuu tukumbuke tu ya kwamba hawa Wahindi tulonao Bongo ni wachache sana kulinganisha na hao walobaki makwao (india) hivyo kutumia tabia za baadhi yao waliopo hapa nchini ku-generalize na tabia za Wahindi kwa ujumla ni dhulma kuwadhulumu wahindi.
Wote wako hivyo mkuu,nimekutana nao kwenye nchi mbalimbali
 
Ningekuwa na mamlaka ningechukua ule uamuzi wa Idd Amin kufukuza wahindi woote tena ningetimua na waarabu kabisa.

Hapo unajiona umeongea bonge la point. Acha chuki na ubinafc kijana, maisha yenyewe ni mafupi mzehe.


Unajua kuwa nyumba za msajili walijenga wahindi kwa hella zao, na serikali ya babu yako nyerere alieko huko kaburini akawanyang'anya!! Ndivyo unavyopenda eeh! Ictoshe baba yako magu nae akafata nyayo za babu yako.
 
Bora ngozi nyeusi mtu wangu ukikutana na mstaarabu mbona utaenjoy sana.
Uzuri wa mtu mweusi akiwa Boss wako huyo huyo anakuwa rafiki,huyo huyo anakuwa ndugu,ukiwa na shida unampiga mizinga ya hapa na pale.
Ila hao wahindi hawana undugu na mtu

Aisee, may be hujafanya kazi na bosi mswahili. But co wote wabaya, others wanajitambua.


Mhindi
Mwafrika

Bosi wako akiwa mzungu or mwarabu utaenjoy sana mzehe.
 
No 1 sio kweli, labda ungesema Wayahudi. Ni maujanja tu ya ulimwengu wa roho.
 
Wahindi kwao wanaishi kimatabaka lakini wakija hapa bongo wanataka wote wapewe heshima = = na Mo

Uku kwetu wengiwao wanajifanya wastaalabu. But Kiboko yao waalabu. Uarabuni wamejaa ka utitiri kila mutu na kazi yake, mwingine anaosha vyombo, kusafisha mabarabara, kuvuta vyoo, kubeba taka n.k. wakileta ushenzi tupwa ndani au kurudishwa bombay 😂😂😂 sema yanapiga kazi mazee, tofauti na waswaili wenzangu all ze time smart phone mkononi 😂😂.
 
Wasomali wako vizuri ...mfano jengo la City Mall pale posta Jirani na Aliba ..mmiliki ni Msomali ....Wauzaji rangi maarufu K.koo Kanda Trading ..ni wasomali
ila mitaani siwaoni sana...napenda kutembelea nchi mbali mbali lakini Somalia NO![emoji2]
 
Namba moja sio kweli labda uniambie ni akili ya ujanja ujanja mwingi na kupenda shortcut
1.Mshana wewe ni mbobezi kwenye uchambuzi ila nakuhakikishia namba moja iko sawa ukitaka kujua nenda kwenye kampuni la Microsoft asilimia 66 waajiriwa ni wahindi hawa jamaa kwa hesabu na computer ni balaa sana

3.Hiii namba 3 hukusema wewe ila naweza ikubali mhindi ni mlalamishi mno hata kama umefanya kosa la kibinadamu anakulalamikia.Hata ukifiwa anakuambia sasa wewe nani kakuambia wewe fiwa wewe penda sana fiwa wewe hiyo shida wanayo
 
Hizi jamii za hawa watu Wahindi na Waarabu zimewanyonya sana Watanzania na kuwafanya masikini tena kimyakimya huku wakijifanya nao ni watanzania huku wakichuma na kuiba hapa na mali kuzihamisha.

Kuna haja ya hawa watu kuangaliwa kwa jicho kali na kuwekewa sheria kali ili sasa waishi kama watanzania kweli na sio hiki comedy wanayoifanya.

Selfish inakusumbua, watu kama wewe maendeleo mtayackia kwa wengine.
 
Ningekuwa na mamlaka ningechukua ule uamuzi wa Idd Amin kufukuza wahindi woote tena ningetimua na waarabu kabisa.
Kwa taarifa yako hawa jamaa ndio wameshikilia uchumi wa nchi hii mfano wakiamua kutoa hela zao zote benki wewe utakosa hata hela ya daladala.Idi Amini aliwafukuza kilichomkuta uchumi ulishuka sana ikafikia ukienda sokoni kununua bidhaa unakwenda na mfuko wa Rambo manoti hakuna mtu anakuvamia Museveni alivyorudi akawarudisha kwa kuwapigia magoti na uchumi wa Uganda uko sawa sasa.
Mmoja wa aliowafukuza Mudhavani akaenda wingereza alivyofika kule akageuka akawa millionea mkubwa sana.
 
Back
Top Bottom