Somoche
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 6,795
- 9,143
Hana Urafiki Na wewe na ndio mana baadhi ya Wakuu mbali mbali serikali huwa na urafiki na wahindi wasijue ni wa kinafiki..Wakitolewa au wakistaafu wahindi huwakimbia hata simu hawapokei.
Wahindi Pia Hawana utu hasa kwa watu weusi yuko radhi amfate mhasibu kwao India aje amuajiri kuliko kukuajiri wewe mbongo..Hii inatokana pia na upuuzi wa watu wetu mtu anaajiliwa hafanyi kazi wala hajitumi kila siku ana excuse hii au ile.