Nimegundua haya baada ya kipindi kifupi cha kufanya kazi na Wahindi

Nimegundua haya baada ya kipindi kifupi cha kufanya kazi na Wahindi

Na
Siku za karibuni nilibahatika kuanza kufanya kazi na jamii ya wahindi katika kipindi hiki kifupi nimejifunza vitu vingi haswa tabia zao.

1. Wahindi ni watu wenye akili mno (genius)

2. Wahindi watu wenye kufanya vitu vyao kwa haraka haraka tofauti na sisi wabongo.

3. Walalamishi mno, watakulalamikia hata kama umefanya kosa la kibinadamu ambalo hata yeye anaweza akalifanya.

4. Wabahili mno

5. Hawana huruma

Tupe uzoefu wako kama ulishawahi kufanya kazi na Wahindi
Mba mbili nitoe mimi .wewe na wabongo wenzako mnaofanya kazi pole pole mtajijua
 
Kuna wahandisi tupo nao hapa wana magari ila hawawezi kupaki hapa kazini, daah
 
Yupo binti alifanya kazi kwa mhindi akiwa na mwenzake. Wahindi hao walikuwa na roho nzuri sana mtu na mkewe. Mama wa mwanaume sasa... Bibi yule alikuwa na roho ya kikoloni. Siku awakipewa nyama ya kuku bibi anauliza "kwani hao kuku wameoza," imagine miaka minne iliyopita bibi anaamini chakula kibaya ndiyo saizi ya Mwafrika. Yule mwanaume akawa anawaambia msimsikilize huyo mzee.
 
na korona hii huyo kikongwe atakuwa ameshadedi, huko alikoenda amekuta watu wote wanaonekana sawa. si mweusi wala mweupe.
 
Ni washenzi( wanawafanya Waafrika wenzetu kuwa watumwa).
Huwezi kumlipa mtu 4500 au 3000 per day
kitu cha ajabu ambacho nimeshangaa, waafrica pia tuna ubaguzi, tuna ubaguzi wa kikabila (mfano mchaga anavyomdharau mpare-wala sio utani), au pamoja na mauaji ya kimbari lakini hadi leo Mtutsi anajiona yupo bora na ni mzuri wa sura kuliko Mhutu kule Rwanda. It is not common for them to intermarry. ati mnyarwanda wa hapo kwa paka anidharau hata mimi mtz tu kwasababu sina sura ya kitusti? wakati nimekua nikiamini wanyarwanda ni wakimbizi hawana kwao.
 
Wabaguzi kwenye mahusiano hasataki dada zao kuchangamana na ngozi nyeusi
 
kitu cha ajabu ambacho nimeshangaa, waafrica pia tuna ubaguzi, tuna ubaguzi wa kikabila (mfano mchaga anavyomdharau mpare-wala sio utani), au pamoja na mauaji ya kimbari lakini hadi leo Mtutsi anajiona yupo bora na ni mzuri wa sura kuliko Mhutu kule Rwanda. It is not common for them to intermarry. ati mnyarwanda wa hapo kwa paka anidharau hata mimi mtz tu kwasababu sina sura ya kitusti? wakati nimekua nikiamini wanyarwanda ni wakimbizi hawana kwao.
Hata Tanzania kuna mijitu bado haijakombolewa. Mtu anafanya kazi Lindi akitaka kuoa anarudi kwao Kigoma kusaka mwanamke.
Huu ni wehu
 
Kuwa na akili maana yake ni kufanya jambo lako kwa ufanisi na kwa haraka,wahindi wengi ni kweli wana ufanisi na ni watu wa mipango,ndio maana makampuni mengi makubwa duniani yanaajili ma CEO wahindi au wahasibu na mawakili wa kihindi.Tukubali waafrica wengi ni wavivu hususani sisi waswahili.

Waswahili ni wavivu hatupendi kufanya kazi bila kuongozwa,tuna maneno mengi na muda wote tunawaza ngono, uchawi,majungu na vitu ambavyo havina impact,ikitokea mtu yeyote akawa tofauti na sisi sehemu za kazi hatapigwa vita sana na kuonekana ni mbaya sana.

Ukitaka kuamini angalia hata bungeni ikitokea spika au mbunge ameongea mzaha kitu kinachoashilia ngono utaona wabunge wanavyoshangilia kwa kugonga meza na kuruka ruka, kwa furaha sana, hata kwenye semina za kujengana uwezo maofisini ukitaka waswahili wakuelewe kwa haraka toa mifano ya kingono ndio semina itanoga na kueleweka.

Hata kimalezi chukua mtoto wa kihindi na wa kiswahili, tabia na maono yao ni tofauti kabisa, tusiwachukie wahindi tuwatumie kama mfano kujenga jamii yetu iwe njema na yenye mafanikio.

Hata shuleni tu ( shule za kata/kayumba) ukiwa mwl wa story za mapenzi class wanafunzi watakupenda wewe na kipindi chako vibaya mno ila ukiwa huna story na ujinga ujinga mwingine utaona watoto hakuelewi kabisa.
 
Kuna daktari mhindi, ni mmoja kati ya wale top doctors. Ananunua bidhaa gengeni tena anakwenda mwenyewe na kapu lake. Waswahili walio chini yake wana nunua bidhaa supermarket.
Kuna la kujifunza hapa, ahsante mkuu!
 
ukitaka uzeeke ukiwa masikini, fanya kazi kwa wahindi mda mrefu.

watu wa zamani wa pwani ya tz, hasusani wazaramo na wandengereko, asilimia kubwa enzi za ujana wao walikuwa vibarua kwenye maduka ya wahindi. lakini mpaka leo wamezeeka wakiwa masikini wa kutupwa.
refer historia ya mzee mpili wa yanga.
 
Kuna daktari mhindi, ni mmoja kati ya wale top doctors. Ananunua bidhaa gengeni tena anakwenda mwenyewe na kapu lake. Waswahili walio chini yake wana nunua bidhaa supermarket.
Kuna baadhi ya bidhaa zinauzwa bei rahisi sana Supermarket kuliko mtaani. Kwa mfano, mimi huwa nanunua maziwa ya Tanga fresh au Azam box la lita moja Tshs. 3900 Shoppers Masaki ila maduka madogo huwa wananiuzia Tshs. 4500. Sijui huwa wananipiga au lah ila hiki kitu kinanifanya bora niendelee ku-save Tshs. 600 kwa kila box.
 
Uchumi wa Tz umemilikiwa na wazungu, wahindi, waarabu na wasomali.

Watanzania wanamiliki chini ya 10%.

Hata serikali yako inajua hilo.
nasikia huo ulikuwa ni makakati wa ccm chini ya utawala wa nyerere. bahati mbaya sana hata jiwe alikuwa na mentality kama hii.

nyerere hakuwa tayari kuona watu wake wanafanikiwa kiuchumi. aliogopa sana kuja kupewa changamoto za kisiasa na matajiri wazawa.

matajiri wazawa walianza kuchipuka enzi za utawala wa mzee ruksa. hiki ndio kipindi alichoibuka mzee Reginald Mengi(RIP).
 
Nikweli ila kufanya nao kazi ni ngumu sana hawa wahindi yataka moyo sana, hawatofautiani sana na wachina........raha ya kazi ufanye na mzungu, anajua haki za binadamu na anajali
Eti eeeh! Sijui kwa nini watu hupenda kufanya kazi na Wazungu.
 
Itisha mkutano kama Manara, kuna ambao hawapo JF hawatapata kujua ugunduzi wako
 
Back
Top Bottom