mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
Jibu limeshawekwa hapo halafu unauliza tenaEti eeeh! Sijui kwa nini watu hupenda kufanya kazi na Wazungu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu limeshawekwa hapo halafu unauliza tenaEti eeeh! Sijui kwa nini watu hupenda kufanya kazi na Wazungu.
Waajemi eti au?
Mimi nitaku challenge kwenye namba tatu. Duniani hakuna watu wanaopenda kujitetea kwa kusema ni bahati mbaya kama watanzania. Trust me. Hili neno la kusema '' ni bahati mbaya'' lipo midomoni mwa kila mtanzania. Mimi nadhani mazingira tunayokulia hayatufundishi kuwa makini na yanaruhusu uzembe kwa kiwango cha juu. Nasema hivi kwa sababu ukichunguza ''bahati mbaya'' nyingi kabisa asili yake ni uzembe na kutokuwa makini. Kama hujatembea na kufanya kazi nchi nyingine utaona kama nimekuwa harsh ila sivyo hivyo. Ni ofisi gani utakayokwenda Bongo bila kukutana na maneno ''bahati mbaya''? Utakuta jina la mteja limekosewa ukiuliza utaambiwa ni bahati mbaya. Utakuta faili limekuwa mis-placed ukiuliza utaambiwa ni bahati mbaya. Kwenye daladala mtu atafanya uzembe wa kijinga ukiuliza utajibiwa ni bahati mbaya. Hotelini chakula kinaweza kuletwa kikiwa na hitilafu ukiuliza utaambiwa ni bahati mbaya. Kwa kifupi nchi yetu tunaweza kuiita ''nchi ya bahati mbaya''Siku za karibuni nilibahatika kuanza kufanya kazi na jamii ya wahindi katika kipindi hiki kifupi nimejifunza vitu vingi haswa tabia zao.
1. Wahindi ni watu wenye akili mno (genius)
2. Wahindi watu wenye kufanya vitu vyao kwa haraka haraka tofauti na sisi wabongo.
3. Walalamishi mno, watakulalamikia hata kama umefanya kosa la kibinadamu ambalo hata yeye anaweza akalifanya.
4. Wabahili mno
5. Hawana huruma
Tupe uzoefu wako kama ulishawahi kufanya kazi na Wahindi
Hata mimi nashangaa mhindi akili nyingi mno hizo kazitoa wapi[emoji15][emoji16]Namba moja sio kweli labda uniambie ni akili ya ujanja ujanja mwingi na kupenda shortcut
Nyumba za msajili hawakujenga kwa hela zao, zipi? Hizo ni hela walizo tuibia kupitia madini yetu na biashara za ujanja ujanja.
Sheria zipo kwa maskiniHalafu chaajabu uhamiaji kutwa wanakimbizana na waethiopia ila hawa wahamiaji wa kutoka India wanaachwa tu wakitugeuza watumwa
Nawafahamu sana hao mkuu na kusoma kwenyewe wanaosoma ni wachache sana tena ni specialWahindi....niwashirikina balaaa,niwashirikina balaaa,niwashirikina balaaaa..,.......,..,....take it from me hawa jamaaa niwashirikina mnooooooo
Wanafuga sana majini .........
Wanaroga sana usiku kwenye mito ,miti mikubwa n.k
Hela zao wanaweka kwenye chumba special au kabati special tena hawahesabu na huwa kuna Giza Nene na anayeingia kuchukua hizo hela ni MTU mmoja tu katika familiaaa,kiufupi wanaongoza kutoweka pesa benki
Wahindi pia ni wana akili sana za darasani ...nilipata kusoma nao .jamaa ni mwepesi kudaka mambo
Kuna vilaza wengi hata apewe jibu bado anauliza tuJibu limeshawekwa hapo halafu unauliza tena
Bahati mbaya na samahani yanakera sana, mtu anafanya makosa makusudi anategemea kusema samahani et yaishe, mimi ndo huwa nawauliza huyo samaani yako inanisaidiaje mimi, Hapo mtu kakuletea chakula kibovuMimi nitaku challenge kwenye namba tatu. Duniani hakuna watu wanaopenda kujitetea kwa kusema ni bahati mbaya kama watanzania. Trust me. Hili neno la kusema '' ni bahati mbaya'' lipo midomoni mwa kila mtanzania. Mimi nadhani mazingira tunayokulia hayatufundishi kuwa makini na yanaruhusu uzembe kwa kiwango cha juu. Nasema hivi kwa sababu ukichunguza ''bahati mbaya'' nyingi kabisa asili yake ni uzembe na kutokuwa makini. Kama hujatembea na kufanya kazi nchi nyingine utaona kama nimekuwa harsh ila sivyo hivyo. Ni ofisi gani utakayokwenda Bongo bila kukutana na maneno ''bahati mbaya''? Utakuta jina la mteja limekosewa ukiuliza utaambiwa ni bahati mbaya. Utakuta faili limekuwa mis-placed ukiuliza utaambiwa ni bahati mbaya. Kwenye daladala mtu atafanya uzembe wa kijinga ukiuliza utajibiwa ni bahati mbaya. Hotelini chakula kinaweza kuletwa kikiwa na hitilafu ukiuliza utaambiwa ni bahati mbaya. Kwa kifupi nchi yetu tunaweza kuiita ''nchi ya bahati mbaya''
Kutema mate Sana kawaida yako , Kuna vitu wanakula . Wanaweka mdomoni kama ugoro hivi ..Wahindi wanapenda kachoriii sanaaaa na bilibiliii/pili piliiii sanaaa
Mida mingi wanatema tema mate mate hahaaaa
Kabisa nakubaliana na wewe,kuna bidhaa ambazo ni cheap supermarket kuliko hata mtaani.Bidhaa za supermarket sio zote ni expensive kuliko za magengeni au kwa mangi. Ondoa hiyo mentality.
Fanya research kidogo kwa bidhaa za vinywaji utaona.
Mwisho wa wote,Idd Amin,alikimbilia kwa waarabu,baada ya kupinduliwa,na akafia huko huko na kuzikwa huko huko,Saudia Arabia.Aliowafukuza,ndio waliomuhifadhi,mpaka kifo chake,kikamfikia.Ningekuwa na mamlaka ningechukua ule uamuzi wa Idd Amin kufukuza wahindi woote tena ningetimua na waarabu kabisa.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Akili kubwa Sana adse ...nakubaliMimi nitaku challenge kwenye namba tatu. Duniani hakuna watu wanaopenda kujitetea kwa kusema ni bahati mbaya kama watanzania. Trust me. Hili neno la kusema '' ni bahati mbaya'' lipo midomoni mwa kila mtanzania. Mimi nadhani mazingira tunayokulia hayatufundishi kuwa makini na yanaruhusu uzembe kwa kiwango cha juu. Nasema hivi kwa sababu ukichunguza ''bahati mbaya'' nyingi kabisa asili yake ni uzembe na kutokuwa makini. Kama hujatembea na kufanya kazi nchi nyingine utaona kama nimekuwa harsh ila sivyo hivyo. Ni ofisi gani utakayokwenda Bongo bila kukutana na maneno ''bahati mbaya''? Utakuta jina la mteja limekosewa ukiuliza utaambiwa ni bahati mbaya. Utakuta faili limekuwa mis-placed ukiuliza utaambiwa ni bahati mbaya. Kwenye daladala mtu atafanya uzembe wa kijinga ukiuliza utajibiwa ni bahati mbaya. Hotelini chakula kinaweza kuletwa kikiwa na hitilafu ukiuliza utaambiwa ni bahati mbaya. Kwa kifupi nchi yetu tunaweza kuiita ''nchi ya bahati mbaya''
Vinywaji siyo basic needs mkuu.Fanya research kidogo kwa bidhaa za vinywaji utaona.
Tobacco hizo wanaita khaini,zingine ni zile Kuber ndio starehe yao hiyoKutema mate Sana kawaida yako , Kuna vitu wanakula . Wanaweka mdomoni kama ugoro hivi ..
Wale wanaoletwa Bongo elimu zao ni za kuungaunga tu na wengine ni form 4 tu wanaletana kinduguUmechemka! Hao jamaa vilaza kichizi na ujanja na kuhonga kwingi sana ili kupata kazi au kipandishwa vyeo, ila ukiangalia kwa ujumla wapo fresh kichwani hasa kwy IT na Udaktari hasa india kwenyewe! Hapa bongo wakawaida sana
Ila bado sijaona mgambo na mjeshi muhindi sijui kwa nini![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wahindi ni watu Wabaguzi Sana,Siku za karibuni nilibahatika kuanza kufanya kazi na jamii ya wahindi katika kipindi hiki kifupi nimejifunza vitu vingi haswa tabia zao.
1. Wahindi ni watu wenye akili mno (genius)
2. Wahindi watu wenye kufanya vitu vyao kwa haraka haraka tofauti na sisi wabongo.
3. Walalamishi mno, watakulalamikia hata kama umefanya kosa la kibinadamu ambalo hata yeye anaweza akalifanya.
4. Wabahili mno
5. Hawana huruma
Tupe uzoefu wako kama ulishawahi kufanya kazi na Wahindi