wazunguwawili
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 3,984
- 4,132
Hizo pia ni sifa iliuweze kuwa tajiri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo short cuts! na ujanja ujanja ndiyo akili wenyewe haswaaa!!Namba moja sio kweli labda uniambie ni akili ya ujanja ujanja mwingi na kupenda shortcut
Mba mbili nitoe mimi .wewe na wabongo wenzako mnaofanya kazi pole pole mtajijuaSiku za karibuni nilibahatika kuanza kufanya kazi na jamii ya wahindi katika kipindi hiki kifupi nimejifunza vitu vingi haswa tabia zao.
1. Wahindi ni watu wenye akili mno (genius)
2. Wahindi watu wenye kufanya vitu vyao kwa haraka haraka tofauti na sisi wabongo.
3. Walalamishi mno, watakulalamikia hata kama umefanya kosa la kibinadamu ambalo hata yeye anaweza akalifanya.
4. Wabahili mno
5. Hawana huruma
Tupe uzoefu wako kama ulishawahi kufanya kazi na Wahindi
na korona hii huyo kikongwe atakuwa ameshadedi, huko alikoenda amekuta watu wote wanaonekana sawa. si mweusi wala mweupe.Yupo binti alifanya kazi kwa mhindi akiwa na mwenzake. Wahindi hao walikuwa na roho nzuri sana mtu na mkewe. Mama wa mwanaume sasa... Bibi yule alikuwa na roho ya kikoloni. Siku awakipewa nyama ya kuku bibi anauliza "kwani hao kuku wameoza," imagine miaka minne iliyopita bibi anaamini chakula kibaya ndiyo saizi ya Mwafrika. Yule mwanaume akawa anawaambia msimsikilize huyo mzee.
kitu cha ajabu ambacho nimeshangaa, waafrica pia tuna ubaguzi, tuna ubaguzi wa kikabila (mfano mchaga anavyomdharau mpare-wala sio utani), au pamoja na mauaji ya kimbari lakini hadi leo Mtutsi anajiona yupo bora na ni mzuri wa sura kuliko Mhutu kule Rwanda. It is not common for them to intermarry. ati mnyarwanda wa hapo kwa paka anidharau hata mimi mtz tu kwasababu sina sura ya kitusti? wakati nimekua nikiamini wanyarwanda ni wakimbizi hawana kwao.Ni washenzi( wanawafanya Waafrika wenzetu kuwa watumwa).
Huwezi kumlipa mtu 4500 au 3000 per day
Hata Tanzania kuna mijitu bado haijakombolewa. Mtu anafanya kazi Lindi akitaka kuoa anarudi kwao Kigoma kusaka mwanamke.kitu cha ajabu ambacho nimeshangaa, waafrica pia tuna ubaguzi, tuna ubaguzi wa kikabila (mfano mchaga anavyomdharau mpare-wala sio utani), au pamoja na mauaji ya kimbari lakini hadi leo Mtutsi anajiona yupo bora na ni mzuri wa sura kuliko Mhutu kule Rwanda. It is not common for them to intermarry. ati mnyarwanda wa hapo kwa paka anidharau hata mimi mtz tu kwasababu sina sura ya kitusti? wakati nimekua nikiamini wanyarwanda ni wakimbizi hawana kwao.
Kuwa na akili maana yake ni kufanya jambo lako kwa ufanisi na kwa haraka,wahindi wengi ni kweli wana ufanisi na ni watu wa mipango,ndio maana makampuni mengi makubwa duniani yanaajili ma CEO wahindi au wahasibu na mawakili wa kihindi.Tukubali waafrica wengi ni wavivu hususani sisi waswahili.
Waswahili ni wavivu hatupendi kufanya kazi bila kuongozwa,tuna maneno mengi na muda wote tunawaza ngono, uchawi,majungu na vitu ambavyo havina impact,ikitokea mtu yeyote akawa tofauti na sisi sehemu za kazi hatapigwa vita sana na kuonekana ni mbaya sana.
Ukitaka kuamini angalia hata bungeni ikitokea spika au mbunge ameongea mzaha kitu kinachoashilia ngono utaona wabunge wanavyoshangilia kwa kugonga meza na kuruka ruka, kwa furaha sana, hata kwenye semina za kujengana uwezo maofisini ukitaka waswahili wakuelewe kwa haraka toa mifano ya kingono ndio semina itanoga na kueleweka.
Hata kimalezi chukua mtoto wa kihindi na wa kiswahili, tabia na maono yao ni tofauti kabisa, tusiwachukie wahindi tuwatumie kama mfano kujenga jamii yetu iwe njema na yenye mafanikio.
Kuna la kujifunza hapa, ahsante mkuu!Kuna daktari mhindi, ni mmoja kati ya wale top doctors. Ananunua bidhaa gengeni tena anakwenda mwenyewe na kapu lake. Waswahili walio chini yake wana nunua bidhaa supermarket.
Ooh. Sawa sawaUbahili ndivyo nilivyoelewa mim
Ni ufala kwa mwanaume/mwanamke kufanya kazi kwa siku kwa malipo ya kipuuzi kiasi hicho bora ukauze pipi na fegi road.Ni washenzi( wanawafanya Waafrika wenzetu kuwa watumwa).
Huwezi kumlipa mtu 4500 au 3000 per day
Kuna baadhi ya bidhaa zinauzwa bei rahisi sana Supermarket kuliko mtaani. Kwa mfano, mimi huwa nanunua maziwa ya Tanga fresh au Azam box la lita moja Tshs. 3900 Shoppers Masaki ila maduka madogo huwa wananiuzia Tshs. 4500. Sijui huwa wananipiga au lah ila hiki kitu kinanifanya bora niendelee ku-save Tshs. 600 kwa kila box.Kuna daktari mhindi, ni mmoja kati ya wale top doctors. Ananunua bidhaa gengeni tena anakwenda mwenyewe na kapu lake. Waswahili walio chini yake wana nunua bidhaa supermarket.
nasikia huo ulikuwa ni makakati wa ccm chini ya utawala wa nyerere. bahati mbaya sana hata jiwe alikuwa na mentality kama hii.Uchumi wa Tz umemilikiwa na wazungu, wahindi, waarabu na wasomali.
Watanzania wanamiliki chini ya 10%.
Hata serikali yako inajua hilo.
Eti eeeh! Sijui kwa nini watu hupenda kufanya kazi na Wazungu.Nikweli ila kufanya nao kazi ni ngumu sana hawa wahindi yataka moyo sana, hawatofautiani sana na wachina........raha ya kazi ufanye na mzungu, anajua haki za binadamu na anajali
Mimi nimegundua wahindi wamemnyanyasa Manara