Abdul kalaam
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 441
- 565
Wapigaji sanaNamba moja sio kweli labda uniambie ni akili ya ujanja ujanja mwingi na kupenda shortcut
Bidhaa za supermarket sio zote ni expensive kuliko za magengeni au kwa mangi. Ondoa hiyo mentality.Kuna daktari mhindi, ni mmoja kati ya wale top doctors. Ananunua bidhaa gengeni tena anakwenda mwenyewe na kapu lake. Waswahili walio chini yake wana nunua bidhaa supermarkt.
Hapa hoja ni ipi mkuu?Kuna daktari mhindi, ni mmoja kati ya wale top doctors. Ananunua bidhaa gengeni tena anakwenda mwenyewe na kapu lake. Waswahili walio chini yake wana nunua bidhaa supermarkt.
Sasa Sisi waarabu wa Tanga twende wapi? Maana tunajua kisambaa na kiarabu hakipandi!Ningekuwa na mamlaka ningechukua ule uamuzi wa Idd Amin kufukuza wahindi woote tena ningetimua na waarabu kabisa...
Wachafu wamepitilizaVipi suala la usafi?
Sio kweli,wezi wa mali ya umma wote ni ccm na wapo Ikulu,hakuna muhindi,Wala mwarabu,Wezi wa escrow,Richmond hakuna mwarabu,Hizi jamii za hawa watu wahindi na waarabu zimewanyonya sana watanzania na kuwafanya masikini tena kimyakimya huku wakijifanya nao ni watanzania huku wakichuma na kuiba hapa na mali kuzihamisha...kuna haja ya hawa watu kuangaliwa kwa jicho kali na kuwekewa sheria kali ili sasa waishi kama watanzania kweli na sio hiki comedy wanayoifanya...e