Mlolongo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2019
- 3,483
- 6,257
Kuna jamaa pale Kariakoo Msimbazi anauza korosho kilo moja 16,000Si kwel mkuu,gengeni bidhaa ni cheap sana unaweza ata kubagein ,supermarket hamna bagein ata yesu arudi.mara nyingi bidhaa supermarket inakuwa juu..
Nikaingia supermarket moja korosho na packaging ile ile inauzwa 25,000