Ni kweli wahindi Ni wakatili hii n kutokana na mazingira ya huko kwao kuwa wapo wengi kuzidi eneo lao Ni Kama hapa bongo useme wachaga wote warudi kwao Kilimanjaro haitotosha da same kwa wahindi pia.
Kule Anita ya kupata ugali bars la Asia kiujumla n ngumu mno na ikitokea kapata nafasi huwa afanyikosa anaprove kuwa yeye n mtu sahihi ili asirudi kule alikotoka ndomana hawa wahindi wanaokuja huku huona kwao n bahati Sana na hawafanyi kosa lolote kwa boss wao ili wasirudishwe kwao.
Ukatili wa muhindi unaanza yikes huko kwao Asia + mazingira ya mtanzania n ya kivivu, hatujiongezi, hatuheshimu muda, hatuna malengo ya muda mrefu na muda mfupi, tunawaza ngono+ushirikina kuliko kujiongeza ili kuzalisha zaidi yaani mtanzania mfano apate sababu tuu utamsikia Yan atashikilia hapo wakati kazi inataka uiprove kwa boss wako pale unapokutana na -ve situation na ukaiwin na Mambo yakaenda Kama kulikuwa hakuna kitu ila mtanzania hapo utakuwa umempa sababu ya kutokufanya Hilo Jambo.
MTANZANIA NI MVIVU NA MZEMBE
ukiwa mvivu na mzembe Basi kulalamika lalamika lazima kuwe n sehemu ya maisha yako kubali au ukatae Ila huo ndo ukweli.
Angalia hata jinsi tunavyotembea mfano majuxi Kati Mimi na rafiki yangu tulienda Nairobi kucheki fursa tulifika saa 12asbh tukawa tunajiuliza Hawa watu wamechelewa wapi jinsi wanavyotembea n Kama wale watu ambao zimebaki dk 2 kuingia Shule au kanisani vile wansvyowaigi mbaya zaidi wakati tukiwa mizungukoni tulijikuta mbele yetu tumetengeneza gape kubwa Kati ya waliopo mbele yetu nasisi huku nyuma yetu tukiwa tumexongwa nikajua sisi n watanzania n wazembe atupo fast.
Mtanzania n anafikiria apate 100millions ajenge jumba kubwa, anunue Gari za kifahari, amiliki kila msichana anaepita mbele yake.
Wakati mhindi anawaza Ile 1million aiweke kwenye Biashara mpaka ifike 10m
Muhindi anaenda kula nyumbani anapanga chumba sebule na jiko, kanunua ki vits Ina cc 990.
wewe mtanzania unaenda kula migawa ya Bei, umepanga upande mzima au nyumba nzima, unanunua crown cc2450
Unafikiri Nani mjinga hapo?
Muhindi anakufix uwe stable na maisha na kaxini kwa mtu Alie serious Ila ukiwa mvivu utamuona anakunyanya pia jua THE WORLD IS NOT FAIR hvyo jipange.
MUHINDI Kuna kitu anakuonyesha wewe mtanzania Ila uzuzu wetu tunaona wanatubana mfano Kama unafanya kazi ya mauzo kwa muhindi na unajua kitu flani kinauzwa 50,000/= na Kama ikipungua na kwa mwezi unauza zaidi ya 100pcs na mshahara wako wewe n 70,000/= kuuza unauza bado Kazin unafika kwa wakati na anakupigia mikelele Sasa hapo muhindi anakunyanyasa au anakuamsha uamke?
Nimefanya kazi na Hawa jamaa hvyo Mimi nasema UKITAKA KUJIFUNZA KAZI NENDA KWANZA KAFANYE KAZI NA MUHINDI ALAFU NDO UENDE KWA MZUNGU yaan MZUNGU atakupenda mno jinsi utakavyokuwa unajituma.
Ndo Mana wakenya hawana vilio vya kijinga kuhusu wahindi Kama sisi watanzania