Nimegundua haya baada ya kipindi kifupi cha kufanya kazi na Wahindi

Nimegundua haya baada ya kipindi kifupi cha kufanya kazi na Wahindi

I wish to believe the population of 'Wahindi' may be around 0.1% of an estimated population of 60 million.
Among these 0.1% are various people who also drive taxis, work at various levels as unskilled, beg for alms etc. Somehow in this thread there are views pertaining to perceptions with no solid proof or perhaps hear say from others.

For the benefit of doubts, if indeed there a few of those whom may have had various 'personal experiences' with the Wahindis than would it be fair to castigate the entire 0.1%?

Lastly, if they could 'do it' their business skills etc etc than why can't you or the rest?
 
kwani Mskitini, Makanisani ama waumini wao hawatumii udi nyumbani kwao? na wakati wa kuswali hata wewe utamsubiri hadi amalize?
Tofautisha udi na ibada za Miungu mkuu,ushawahi ingia wakiwa wanafanya hizi ibada?if no then huwezi elewa
 
Unaweza kuwa na Masters ya kwenye Makaratasi tu ambayo vijana wengi wa Kibongo ndio wanayo ila kiuhalisia umeshindwa kuwashawishi waajiri wako kiutendaji kwamba una Masters. Tatizo kubwa ambalo wengi hatutaki kulielewa ni kwamba hawa wenzetu tukubali au tukatae, they are ahead of us. itakutolea mfano mmoja. Mtoto wa Kibindi anaanza kujifunza Excell tangu akiwa Form Two wewe unaanza kujifunza excell baada ya kumaliza Chuo sasa hapo mnadhani utakuwa sawa nae?
Kingine ni kwenda nao sawa. If you are not smart and sharp huwezi kufanya kazi na wahindi mkaelewana. Nenda Kenya tu hapo huwezi sikia Wahindi wanalalamikiwa kama hapa do you know why?
Na huyo Dogo wa Kihindi unaemsema kasoma vyuo vya mtaani ukimchunvuza anakuwa yupo vizuri kichwani kuliko wewe na BCOm yako ya UDSM au UDOM. sasa kwenye ukweli lazima tukubaliane tuache ubaguzi.
kweli mkuu
 
Ni kweli wahindi Ni wakatili hii n kutokana na mazingira ya huko kwao kuwa wapo wengi kuzidi eneo lao Ni Kama hapa bongo useme wachaga wote warudi kwao Kilimanjaro haitotosha da same kwa wahindi pia.

Kule Anita ya kupata ugali bars la Asia kiujumla n ngumu mno na ikitokea kapata nafasi huwa afanyikosa anaprove kuwa yeye n mtu sahihi ili asirudi kule alikotoka ndomana hawa wahindi wanaokuja huku huona kwao n bahati Sana na hawafanyi kosa lolote kwa boss wao ili wasirudishwe kwao.

Ukatili wa muhindi unaanza yikes huko kwao Asia + mazingira ya mtanzania n ya kivivu, hatujiongezi, hatuheshimu muda, hatuna malengo ya muda mrefu na muda mfupi, tunawaza ngono+ushirikina kuliko kujiongeza ili kuzalisha zaidi yaani mtanzania mfano apate sababu tuu utamsikia Yan atashikilia hapo wakati kazi inataka uiprove kwa boss wako pale unapokutana na -ve situation na ukaiwin na Mambo yakaenda Kama kulikuwa hakuna kitu ila mtanzania hapo utakuwa umempa sababu ya kutokufanya Hilo Jambo.


MTANZANIA NI MVIVU NA MZEMBE


ukiwa mvivu na mzembe Basi kulalamika lalamika lazima kuwe n sehemu ya maisha yako kubali au ukatae Ila huo ndo ukweli.

Angalia hata jinsi tunavyotembea mfano majuxi Kati Mimi na rafiki yangu tulienda Nairobi kucheki fursa tulifika saa 12asbh tukawa tunajiuliza Hawa watu wamechelewa wapi jinsi wanavyotembea n Kama wale watu ambao zimebaki dk 2 kuingia Shule au kanisani vile wansvyowaigi mbaya zaidi wakati tukiwa mizungukoni tulijikuta mbele yetu tumetengeneza gape kubwa Kati ya waliopo mbele yetu nasisi huku nyuma yetu tukiwa tumexongwa nikajua sisi n watanzania n wazembe atupo fast.

Mtanzania n anafikiria apate 100millions ajenge jumba kubwa, anunue Gari za kifahari, amiliki kila msichana anaepita mbele yake.

Wakati mhindi anawaza Ile 1million aiweke kwenye Biashara mpaka ifike 10m

Muhindi anaenda kula nyumbani anapanga chumba sebule na jiko, kanunua ki vits Ina cc 990.

wewe mtanzania unaenda kula migawa ya Bei, umepanga upande mzima au nyumba nzima, unanunua crown cc2450

Unafikiri Nani mjinga hapo?

Muhindi anakufix uwe stable na maisha na kaxini kwa mtu Alie serious Ila ukiwa mvivu utamuona anakunyanya pia jua THE WORLD IS NOT FAIR hvyo jipange.

MUHINDI Kuna kitu anakuonyesha wewe mtanzania Ila uzuzu wetu tunaona wanatubana mfano Kama unafanya kazi ya mauzo kwa muhindi na unajua kitu flani kinauzwa 50,000/= na Kama ikipungua na kwa mwezi unauza zaidi ya 100pcs na mshahara wako wewe n 70,000/= kuuza unauza bado Kazin unafika kwa wakati na anakupigia mikelele Sasa hapo muhindi anakunyanyasa au anakuamsha uamke?

Nimefanya kazi na Hawa jamaa hvyo Mimi nasema UKITAKA KUJIFUNZA KAZI NENDA KWANZA KAFANYE KAZI NA MUHINDI ALAFU NDO UENDE KWA MZUNGU yaan MZUNGU atakupenda mno jinsi utakavyokuwa unajituma.

Ndo Mana wakenya hawana vilio vya kijinga kuhusu wahindi Kama sisi watanzania
ubarikiwe sana mkuu nimepata kitu hapa.
 
Wahindi na ushirikina ni mtoto na nyonyo
Ofisini kwao wamejaza yale madude wanayachoma moto kila asubui na hamna mtu anaruhusiwa kuingia mpaka wamalize mambo yao!
Na pili wana wivu sana na roho za choyo hata awe amefanikiwa vipi mfano halisi modewji!
Wewe ni wale wanaodhani dunia yote Ina dini mbili Ukristo na Uislam!
Toka humo kwenye box lako!
 
Mhindi ana roho ya kimaskini Kama Mwafrika tu, akifika sehemu hapaendelei Wala nini.

Mtu wa kumkaribisha na akutajirishe nu mzungu tu. Aangalie South Africa, Australia, New Zealand.

Na hata nchi za kiarabu zene mafuta zilikubalia kushare rasilimali zao na wazungu katika uzalishaji na mauzo, Leo wanafaidi matunda.
mkuu hupo sahihi kabisa.
 
Namba moja sio kweli labda uniambie ni akili ya ujanja ujanja mwingi na kupenda shortcut
Kwanini unapinga wakati madaktari bingwa wengi wanapatikana India? Usisahau pia hawa jamaa wanamiliki hadi mabomu ya nyuklia,Satelite n.k
 
Wachafu sana na ni washirikina sana hakuna mhindi asiye na hirizi,wana possible hawana impossible,wanafiki sana na wambea
Hapa nimekubali,kuhusu umbea na unafiki wako vizuri,muhindi ata ukifanya kazi vizur ana kuchukia.
 
Kuna methali isemayo "baniani mbaya, kiatu chake dawa'. Hivyo hao jamaa pamoja na kuonwa hawasomeki vizuri, ila ukiwakuta kwenye angle za kitaaluma zao kama; biashara, uhandisi, medicals wako vizuri Sana Ila 'mawenge!
 
Back
Top Bottom