Nimegundua hivi majuzi kuwa mashavu yangu yana nenepa

YE67NBE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2015
Posts
15,155
Reaction score
36,337
Wakuuu za sahizi Nimegundua hivi majuzi kuwa mashavu yangu yana nenepa kitu ambacho sijafurahishwa nacho

Nilikuwa naomba kama kuna mtu anayejua dawa au njia ya asili ya kuyapunguza mashavu yangu anisaidie

Siyapendi kwa kweli 😢😢😢😢😢😢

Nawasilisha

Edit:: mimi ni me nasemea mashavu ya usoni
 
Wakuuu za sahizi Nimegundua hivi majuzi kuwa mashavu yangu yana nenepa kitu ambacho sijafurahishwa nacho

Nilikuwa naomba kama kuna mtu anayejua dawa au njia ya asili ya kuyapunguza mashavu yangu anisaidie

Siyapendi kwa kweli [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]

Nawasilisha
Acha gongo na k vant
 
Sidhani kama mashavu yanaweza nenepa pekeake, ila ni kua wewe kwa ujumla umenenepa. Hapo inabidi uudhibiti unene kwa ujumla
Mimi ni mwembamba kama toothpick mkuuu wala hata si mnene
 
Tanzania Watu Wamechoka Mpaka Mawazo Yao Anaweza Amka Mtu Akasema Hapendi Kichwa Chake Kitolewe, Sasa Ukiwaza Endapo Kitaondolewa Itakuwaje??
 
Wakuuu za sahizi Nimegundua hivi majuzi kuwa mashavu yangu yana nenepa kitu ambacho sijafurahishwa nacho

Nilikuwa naomba kama kuna mtu anayejua dawa au njia ya asili ya kuyapunguza mashavu yangu anisaidie

Siyapendi kwa kweli [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]

Nawasilisha
Ukiweza jikubali ulivyo na usijaribu kujikosoa. Kuna walemavu wa viungo na wamejikubali walivyo na wanajiamini hatari.. Huna ulemavu mshukuru sana Mungu
qn5d48fhy3.jpg
 
Una miaka mingapi na jinsia yako
Je unakunywa Pombe ?

Jibu maswali hayo vizuri kwanza
 
Back
Top Bottom