Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Hilo shavu dodo, mmeo haridhishwi nalo?Mimi ni mwembamba kama toothpick mkuuu wala hata si mnene
Kila sura aliyovaa binadamu, lazima kuna mtu "anafia" ujue!
Halafu usipende sana kujilinganisha na watu wengine, kuwa wewe ulivyo na ujipende kadri M/Mungu alivyokugaia rangi na sura.
Kupenda kuvaa maumbile ya watu wengine kunawapa tabu sana, kuzitafuta sura ama maumbile hayo kwa gharama kubwa na kupelekea wengine kufia kwenye vitanda vya upasuaji wakibadili sura!
Mungu atuhurumie.