Nimegundua hivi majuzi kuwa mashavu yangu yana nenepa

Mimi ni mwembamba kama toothpick mkuuu wala hata si mnene
Hilo shavu dodo, mmeo haridhishwi nalo?

Kila sura aliyovaa binadamu, lazima kuna mtu "anafia" ujue!

Halafu usipende sana kujilinganisha na watu wengine, kuwa wewe ulivyo na ujipende kadri M/Mungu alivyokugaia rangi na sura.

Kupenda kuvaa maumbile ya watu wengine kunawapa tabu sana, kuzitafuta sura ama maumbile hayo kwa gharama kubwa na kupelekea wengine kufia kwenye vitanda vya upasuaji wakibadili sura!

Mungu atuhurumie.
 
Mimi ni me mkuuu
 
Vuta Ganja ile inakondesha sana mshavu.... Kamba ungekua unacheza boxing labda... Pia nayo huwezi kua na mashavu
 
Nimeona hiyo NB nikawaza tu watanzania watakuwa washachafua hali ya hewa [emoji134][emoji134][emoji134]
 
Picha
 
Mbona hayajanenepa mkuu,punguza ndevu tu hizo mkuu
 
Ndevu ni nyingi mno aisee
Hizo nimezipunguza haziko hivyo mkuuu


Nimepunguza sana tu,,,,,, kuwa mzanzibari ni raha lkn 😍😍 ndevu zinakuja zenyewe tu 😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…