[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hayo matatizo ni mengi sana haswa nyanda za chini kaskazini ilianza kudhihirika pale Tanesco walivyoona Koffi olomide hafai na badala yake wanamhitaji Kichuya.
Wenyewe walidhani kila asubuhi wakija wanajiandaa wanaenda mahakamani ili kuendelea na ujenzi wa taifa, mimi sijui lakini majirani wananiambia watoto wangu wapo la pili au la tatu.
Jaman imekua km taarifa za hivi punde za Itv yan mara paap nakutan na mrembo machachar wa JF kaweka picha yangu kwny avatar yake nadhan me ndo wa kwanza kuwah kutokea toka JF imeanza
Naomba mnipe hatua za kufanya ktk hili swala,nitatoa jina lake humu mda si mrefu ili wote mjionee
Mpaka sasa nimemtia block asione huu uzi niloanzisha so kwa wale wenye hofu kwmb atabadilisha, forget it
Na pia nitatuma screenshot za huko Pm mana nimejaribu kuchukua hatua ila nao
na so madhubuti
Ambao hamna iman juu ya haya mambo mnaruhusiwa kucomment pia.
Khaaa jina langu mm jaman kwenye uzi wa kuumizwa uzi upi huo tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa nini ulihisi mm nimeweka avatar ya huyo mtu naanzaje me naweka avatar inayonihusu jaman
Rafiki naomba weka ya kwanguuNimejikuta nacheka tuuu sasa ndio ninii hivyo kama kaweka picha yako relax mkuu vya kawaida hivyo
Naanzaje kuweka yako samahani mkuu siweziRafiki naomba weka ya kwanguu
Nipe yako halisi niweke mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kawaida tu mbona mkuu, hata hii niliyoweka mie sio yangu
Hahahahaaa hivi hiyo hapo ni yako??Naanzaje kuweka yako samahani mkuu siwezi
Mkuu veep unataka kuvumbua ninii na hayo maswaliHahahahaaa hivi hiyo hapo ni yako??
Mkuu usione shida kujibu hilo swali. Ni rahisi na maneno machache tu, Nakupenda TanzaniaMkuu veep unataka kuvumbua ninii na hayo maswali
Yangu ukatambikie eh[emoji125] [emoji125] [emoji125]Nipe yako halisi niweke mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Matambiko muda mwingine yanaleta upole kwenye jamiiYangu ukatambikie eh[emoji125] [emoji125] [emoji125]
utakuwa mtoto wewe mambo ya ndani kwenu unakujanayo publicThats mm mkuu, na hiyo ndo pic alochukua shemej ako ajae