Nimegundua kuna mdada makini humu JF kaweka picha yangu kama avatar yake

Nimegundua kuna mdada makini humu JF kaweka picha yangu kama avatar yake

Hayo matatizo ni mengi sana haswa nyanda za chini kaskazini ilianza kudhihirika pale Tanesco walivyoona Koffi olomide hafai na badala yake wanamhitaji Kichuya.

Wenyewe walidhani kila asubuhi wakija wanajiandaa wanaenda mahakamani ili kuendelea na ujenzi wa taifa, mimi sijui lakini majirani wananiambia watoto wangu wapo la pili au la tatu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Jaman imekua km taarifa za hivi punde za Itv yan mara paap nakutan na mrembo machachar wa JF kaweka picha yangu kwny avatar yake nadhan me ndo wa kwanza kuwah kutokea toka JF imeanza

Naomba mnipe hatua za kufanya ktk hili swala,nitatoa jina lake humu mda si mrefu ili wote mjionee

Mpaka sasa nimemtia block asione huu uzi niloanzisha so kwa wale wenye hofu kwmb atabadilisha, forget it
Na pia nitatuma screenshot za huko Pm mana nimejaribu kuchukua hatua ila nao
na so madhubuti
Ambao hamna iman juu ya haya mambo mnaruhusiwa kucomment pia.

Kama mkware mpige verse ujilie uumbaji.
 
Vipi, mkuu? Kuna kadhia kali sana umepata baada ya hili tukio?

Au kuna mtu kamistake kaja PM [emoji3]
 
Khaaa jina langu mm jaman kwenye uzi wa kuumizwa uzi upi huo tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa nini ulihisi mm nimeweka avatar ya huyo mtu naanzaje me naweka avatar inayonihusu jaman

Muulize aunt yako kuhusu huo uzi.
 
Labda uliona vibaya...sometimes ni network...ile nafungua hii thread kwa mara ya pili naona avatar yangu kwa joseverest...

PhotoGrid_1508267014312.jpg
 
Unataka comparison sio, bas weka picha yako na yake tukupatie asilimia mkuu.

Majudge tupo tu tunasubiri hivyo vitu tuvifanyie kazi.
 
Back
Top Bottom