Nimegundua kuna mdada makini humu JF kaweka picha yangu kama avatar yake

kwaiyo ni shs ngapi kakuibia yani kuna watu mnawaza vitu minor? kama vile vitoto vinagombea pipi ovyoooo nenda TCRA au tukupe namba ya sirro umwelezee tatizo lako
 
Kama Hapa Namuangalia Harry Kane Sijui Ameshindaje Hii Tuzo Ya Nobel Wakamuacha Harmorapa Akakimbia Mpaka Sryia Akakuta Na Eminem Kashinda BIKO Anakabidhiwa Ela Na Kim Jong Un.
 
Kama Hapa Namuangalia Harry Kane Sijui Ameshindaje Hii Tuzo Ya Nobel Wakamuacha Harmorapa Akakimbia Mpaka Sryia Akakuta Na Eminem Kashinda BIKO Anakabidhiwa Ela Na Kim Jong Un.
Lakini kama wote tukiamua kwenda kutoa damu ni dhahiri kombe la dunia tutachukua na Bakhresa ataongeza uzalishaji wa mikate. Na bodi ya korosho ifanye mpango kiatu cha dhahabu wakamkabidhi Diamond.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…