Kulikon au ndo kaja kukuanika mkuuMsiiiiiiiiiiiiieeeew[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
We mrembo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwendraaaaaaa unataka kiki kwa pikipiki
Asubuhi kila mmoja anaparanganyika kwenye ujenzi wa taifa.Hayo matatizo ni mengi sana haswa nyanda za chini kaskazini ilianza kudhihirika pale Tanesco walivyoona Koffi olomide hafai na badala yake wanamhitaji Kichuya.
Wenyewe walidhani kila asubuhi wakija wanajiandaa wanaenda mahakamani ili kuendelea na ujenzi wa taifa, mimi sijui lakini majirani wananiambia watoto wangu wapo la pili au la tatu.
Yeye akajua ni kuokota samaki chini ya mnazi.Labda uliona vibaya...sometimes ni network...ile nafungua hii thread kwa mara ya pili naona avatar yangu kwa joseverest...
View attachment 611500
Toa ushuhudaa kwanza mkuujamaa sijui wa wapi huyu? yaani hilo nalo ni jambo la kutujazia forum hapa! mbona yanatokea sana tu tunayapotezea
Kumbeee ase siku ukitaka kuomba ukatibu wa hili jukwaa kura yangu unayoAsubuhi kila mmoja anaparanganyika kwenye ujenzi wa taifa.
Anyway Mr youngdonats18
Sisi tutaamini vipi hiyo ID ni ya mdada kweli na siyo ID yako nyingine?
Pia unafahamu kuanika PM hapa jukwaani ni kosa kulingana na sheria za JF?
Kuwa makini DoctorKwa Jf ndo mara ya kwanza ila huku ulimwenguni ni vurugu tu
HahahahaaHayo matatizo ni mengi sana haswa nyanda za chini kaskazini ilianza kudhihirika pale Tanesco walivyoona Koffi olomide hafai na badala yake wanamhitaji Kichuya.
Wenyewe walidhani kila asubuhi wakija wanajiandaa wanaenda mahakamani ili kuendelea na ujenzi wa taifa, mimi sijui lakini majirani wananiambia watoto wangu wapo la pili au la tatu.
Na ww weka picha ya huyo Mdada tukutongoze.Jaman imekua km taarifa za hivi punde za Itv yan mara paap nakutan na mrembo machachar wa JF kaweka picha yangu kwny avatar yake nadhan me ndo wa kwanza kuwah kutokea toka JF imeanza
Naomba mnipe hatua za kufanya ktk hili swala,nitatoa jina lake humu mda si mrefu ili wote mjionee
Mpaka sasa nimemtia block asione huu uzi niloanzisha so kwa wale wenye hofu kwmb atabadilisha, forget it
Na pia nitatuma screenshot za huko Pm mana nimejaribu kuchukua hatua ila nao
na so madhubuti
Ambao hamna iman juu ya haya mambo mnaruhusiwa kucomment pia.
Hizi ndo akili zangu za likizo mkuu, hili jukwaa ndo linanipa burudan mana jukwaa la elimu kila mtu analalamikia mikopoKuwa makini Doctor
Nimepita kwny profile yako nione birth date yako, instead hujaweka ila nahis we utahitaj shikamoo kutoka kwangu,Ukute upo kabayaa
Akwendre KK moyo akapewe hukoooWe mrembo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mpe moyo nduguyo