Nimegundua kuna mdada makini humu JF kaweka picha yangu kama avatar yake

Nimegundua kuna mdada makini humu JF kaweka picha yangu kama avatar yake

Hayo matatizo ni mengi sana haswa nyanda za chini kaskazini ilianza kudhihirika pale Tanesco walivyoona Koffi olomide hafai na badala yake wanamhitaji Kichuya.

Wenyewe walidhani kila asubuhi wakija wanajiandaa wanaenda mahakamani ili kuendelea na ujenzi wa taifa, mimi sijui lakini majirani wananiambia watoto wangu wapo la pili au la tatu.
Asubuhi kila mmoja anaparanganyika kwenye ujenzi wa taifa.

Anyway Mr youngdonats18

Sisi tutaamini vipi hiyo ID ni ya mdada kweli na siyo ID yako nyingine?

Pia unafahamu kuanika PM hapa jukwaani ni kosa kulingana na sheria za JF?
 
jamaa sijui wa wapi huyu? yaani hilo nalo ni jambo la kutujazia forum hapa! mbona yanatokea sana tu tunayapotezea
 
Asubuhi kila mmoja anaparanganyika kwenye ujenzi wa taifa.

Anyway Mr youngdonats18

Sisi tutaamini vipi hiyo ID ni ya mdada kweli na siyo ID yako nyingine?

Pia unafahamu kuanika PM hapa jukwaani ni kosa kulingana na sheria za JF?
Kumbeee ase siku ukitaka kuomba ukatibu wa hili jukwaa kura yangu unayo
 
Hayo matatizo ni mengi sana haswa nyanda za chini kaskazini ilianza kudhihirika pale Tanesco walivyoona Koffi olomide hafai na badala yake wanamhitaji Kichuya.

Wenyewe walidhani kila asubuhi wakija wanajiandaa wanaenda mahakamani ili kuendelea na ujenzi wa taifa, mimi sijui lakini majirani wananiambia watoto wangu wapo la pili au la tatu.
Hahahahaa
 
Kuna mda humu jf unakuta pic yako imejiweka kwa avatar ya mtu mwingine. Nami kuna siku nilishangaa ila nilikuja gundua ni matatizo ya jf wenyewe.
Sasa ww hujafaya utafiti. Umekurupuka ukadhani unapendwa ptuuuu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Jaman imekua km taarifa za hivi punde za Itv yan mara paap nakutan na mrembo machachar wa JF kaweka picha yangu kwny avatar yake nadhan me ndo wa kwanza kuwah kutokea toka JF imeanza

Naomba mnipe hatua za kufanya ktk hili swala,nitatoa jina lake humu mda si mrefu ili wote mjionee

Mpaka sasa nimemtia block asione huu uzi niloanzisha so kwa wale wenye hofu kwmb atabadilisha, forget it
Na pia nitatuma screenshot za huko Pm mana nimejaribu kuchukua hatua ila nao
na so madhubuti
Ambao hamna iman juu ya haya mambo mnaruhusiwa kucomment pia.
Na ww weka picha ya huyo Mdada tukutongoze.
 
Hivi hili nalo LA kuchukua Picha yako lakulitolea povu?nazan unatafuta kiki!
 
Ukute upo kabayaa
Nimepita kwny profile yako nione birth date yako, instead hujaweka ila nahis we utahitaj shikamoo kutoka kwangu,
Me damu mbichi sana afu kwa mdada yoyote hawez kuload ili kuaccept proposal langu nikitema madini

Naomba usinijaribu sawa mamii
 
Back
Top Bottom