Nimegundua kuna member humu anatembea na mke wangu, nitakachomfanya tusilaumiane

Nimegundua kuna member humu anatembea na mke wangu, nitakachomfanya tusilaumiane

Hakika hayana .. mtoa mada Aje kutupa updates !
Acha dada wa watu at*mb*ke kwa raha zake, huyu mwana akiweza amsaidie adai talaka kisheria.Jitu linapiga mke katika hafla, mbele ya marafiki na jamaa bila kosa. Kisa mke kateleza bahati mbaya.

Huyo mwanamke angekuwa dada yangu ningemwambia nitaweka kambi karibia na mnapokaa, ukiona dalili za kukupiga na hauna makosa nishtue nije kuwasuluhisha kistaarabu mtakuwa hamgombani.

Sister akijichanganya akakubali, ataona "diplomasia ya ki savage". Nikiingia nitamkanda mpaka domo liwe kilo mbili, macho kang'atwa na nyuki, na kuanzia hapo atakuwa hana uhuru wa kupiga wala kuacha bila sababu za msingi.

Akiacha,kwa kuwa atakuwa kadhalilisha familia,namuahidi kumkata dole gumba na kidole kidogo cha mkono wa kazi.

Na IMAGINE tu 😆
 
Nimegundua kuna member humu ndani anatembea na mke wangu kutokana na uzi aliouandika humu.
Uzi wenyewe ni huu Nimejikuta nina mahusiano na mke wa mtu ila kuna kitu nimejifunza na wengine itawafunza

Member alieandika huu uzi anatembea na mke wangu, na mke wangu amemdanganya vitu vingi sana kuhusu mimi na kumjaza maneno ya uongo, ikiwemo ya kwamba nilimkuta bikra.

Pamoja na hayo, huyu jamaa ni wale wanaume marioo wanaopenda kulelewa kwani amekua akipewa pesa na mke wangu, pesa ambazo mimi nazitafuta kwa jasho na damu, yeye anazila kirahisi tu. Nilishashtukia kuwa kuna mtu ananilia vyangu kutokana na mabadiliko ya tabia kwa mke wangu, pamoja na kuwa na matumizi makubwa ya pesa ninayompa bila maelezo ya kujitosheleza.

Leo nimehakikisha na kumjua mbaya wangu. Sitaki kuzungumzia mapungufu ya huyo mwanamke hapa, ila tu nawataarifu kuwa kwa nitakachomfanyia huyu jamaa tusije tukalaumiana kabisa.

Nitamuonyesha kuwa mali ya mwanaume hailiwi bure. Kinachokwenda kumpata atahadithia hadi wajukuu zake.

Nimemaliza.

Unaweza pia kusoma >> Kuweka kumbukumbu sawa kuhusu kutokumjali mke wangu na kumsababishia kuchepuka
Mbona mimi mkuu aliniambia kwamba ulishafariki! Mimi kutoa huduma kwa mjane nimekosea wapi?
 
Back
Top Bottom