Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,828
- 7,532
🤔🤔🤔Nawe tembea na wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤔🤔🤔Nawe tembea na wake
Ni ww tuvp ukimpiga na picha walau kumi ukiwa unambandua?
Majibu ya umu ni shoti shoti tu😄😄😄Ni ww tu
Ndio yani humu bn mtu anapewa ushauri akiona aongezeke na yake hata ni yeye.Majibu ya umu ni shoti shoti tu😄😄😄
Hatari mko na vibe lote vijana wa 2004Ndio yani humu bn mtu anapewa ushauri akiona aongezeke na yake hata ni yeye.
Haya madharau tena haya.Hatari mko na vibe lote vijana wa 2004
Hakuna madharau ndicho mlicho acceptHaya madharau tena haya.
Hakika hayana .. mtoa mada Aje kutupa updates !
Haya sawaHakuna madharau ndicho mlicho accept
Hawezi kuja uyuHakika hayana .. mtoa mada Aje kutupa updates !
Hebu wekeni picha,tumuone huyo mwanamke mnayegombania kama ana trakoMkuu acha mbwembwe nilichozungumza ni tofauti na maelezo unayosema ni mke wako
Saivi trako sio kitu chief ilo ni kama uvimbe tuHebu wekeni picha,tumuone huyo mwanamke mnayegombania kama ana trako
Acha dada wa watu at*mb*ke kwa raha zake, huyu mwana akiweza amsaidie adai talaka kisheria.Jitu linapiga mke katika hafla, mbele ya marafiki na jamaa bila kosa. Kisa mke kateleza bahati mbaya.Hakika hayana .. mtoa mada Aje kutupa updates !
Mbona mimi mkuu aliniambia kwamba ulishafariki! Mimi kutoa huduma kwa mjane nimekosea wapi?Nimegundua kuna member humu ndani anatembea na mke wangu kutokana na uzi aliouandika humu.
Uzi wenyewe ni huu Nimejikuta nina mahusiano na mke wa mtu ila kuna kitu nimejifunza na wengine itawafunza
Member alieandika huu uzi anatembea na mke wangu, na mke wangu amemdanganya vitu vingi sana kuhusu mimi na kumjaza maneno ya uongo, ikiwemo ya kwamba nilimkuta bikra.
Pamoja na hayo, huyu jamaa ni wale wanaume marioo wanaopenda kulelewa kwani amekua akipewa pesa na mke wangu, pesa ambazo mimi nazitafuta kwa jasho na damu, yeye anazila kirahisi tu. Nilishashtukia kuwa kuna mtu ananilia vyangu kutokana na mabadiliko ya tabia kwa mke wangu, pamoja na kuwa na matumizi makubwa ya pesa ninayompa bila maelezo ya kujitosheleza.
Leo nimehakikisha na kumjua mbaya wangu. Sitaki kuzungumzia mapungufu ya huyo mwanamke hapa, ila tu nawataarifu kuwa kwa nitakachomfanyia huyu jamaa tusije tukalaumiana kabisa.
Nitamuonyesha kuwa mali ya mwanaume hailiwi bure. Kinachokwenda kumpata atahadithia hadi wajukuu zake.
Nimemaliza.
Unaweza pia kusoma >> Kuweka kumbukumbu sawa kuhusu kutokumjali mke wangu na kumsababishia kuchepuka