Nimegundua kusudi lililo nileta duniani. Nimeanza kuliishi kusudi hilo na linanilipa

Nimegundua kusudi lililo nileta duniani. Nimeanza kuliishi kusudi hilo na linanilipa

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Naanza kwa kuwatukanizia wale wote walio ni laghai nilipokuwa mtoto mdogo kwa kuniambia eti :

1. Nimerithi dhambi ya asili kutoka kwa mtu anaitwa Adam.

2. Eti nimeletwa duniani kufanya mitihani ( majaribu).

3. Kwamba eti alie niumba aliniumba ili nimuabudu..

........

1. Sina dhambi ya asili wala sijarithi dhambi yoyote ile kutoka kwa mtu yoyote yule... I am free like Nelson Mandela. Hao walio kuwa wananilaghai kwamba nimerithi dhambi( Adhabu) kwa Adam, they were talking about their side of the family. Not mine.


2. Mnasema Mungu anajua mambo yote yaliyopo yaliyopita na yajayo sasa ananipa mitihani wakati tayari anayajua majibu yake? Wacheni kumsingizia Mungu nyie.


3. Nyie watu wa dini mnaposema " Mungu ametuumba ili tumuabudu ujue mnajichoresha sana na mnajionyesha jinsi mlivyo wepesi kichwani.

KWA NINI NASEMA HIVYO?

Ukisema Mungu ametuumba ili tumuabudu maana yake ni unasema kwamba :

" Mungu pia ni muhitaji "

Ni muhitaji kama ulivyo wewe binadamu. Anahitaji kuabudiwa..

Kama unavyo weza kusema

" Yanga wamemsajili Baleke ili awasaidie kwenye safu ya ushambuliaji" kwa sababu Yanga wana uhitaji wa striker.


Mungu sio muhitaji wala hahitaji kitu chochote kwetu .

Yeye amekamilika.

Hapungukiwi na chochote wala hahitaji chochote kutoka kwetu.

Kama anavyo sema King David,

" Bwana ndie mchungaji wangu, sinto PUNGUKIWA na kitu".

Hatopungukiwa na kitu kwa sababu Mchungaji wake hapungukiwi na kitu chochote kile. Yeye anavyo vitu vyote na amekamilika. Yeye ni Alfa na Omega yani mwanzo na mwisho. Amekamilika. Hahitaji chochote kutoka kwetu.

Niliwahi kuwauliza swali mashekhe na wachungaji wakabakia kutoa vitisho:

Swali lenyewe lilikuwa :


"Ninyi mnadai ya kwamba Mungu ametuumba ili tumuabudu. Je tusipo MUABUDU atapungukiwa na kitu gani?"

Wakajibu kwa kujiumauma: HATOPUNGUKIWA NA KITU CHOCHOTE.


Nikawauliza tena:

" Na je tukiamudu ataongezekewa na kitu gani?"

Wakajibu kwa kujiumauma:
" Hato ONGEZEKEWA na kitu chochote kile.."


Nikawaambia sasa kwanini mnawatisha watu kwamba wasipo fanya hizo ibada zenu basi watakwenda motoni?

Hamuoni kwamba mnamchoresha Mungu kwa kumfanya aonekane yupo desperate na kuabudiwa kiasi kwamba ameweka hadi Jehanamu ili kuwachoma wale ambao hawato muabudu wakati hata kabla haja waumba alijua mwisho wao utakuwa Jehanamu?

Hata wewe usinge weza kujibu..


LEO NINAKWAMBIA KWANINI MUNGU AMETUUMBA.

Mungu ametuumba ili tufanye starehe period. Ndio maana hata kwenye vitabu vyenu mnasema Mungu alistarehe siku ya saba baada ya kumuumba binadamu siku ya sita.

Asili ya binadamu ni starehe ( umetokana na starehe) na maisha yake anatakiwa kuyaishi kwa kustarehe.

Ndugu zangu Mimi tayari nimeshajipata. Maisha yangu ni starehe... Nitaishi kwa starehe katika siku zote za maisha yangu. Nitaitafuta starehe by any means necessary. Kamwe sinto acha kustarehe. Nitafanya kama alivyo sema Nabii wenu Suleiman kwenye kitabu cha Mhubiri " SINTOINYIMA nafsi yangu kitu chochote ambacho itakihitaji"

Tangu nianze kuyaishi maisha ya kustarehe kama ibada yangu ya asili, furaha yangu imeongezeka mara mia..

Am so happy muda wote nawaza starehe na ninafanya starehe. Wewe endelea kujistress ili ugundue usafiri wa kwenda Mars wakati Mars kwenyewe hakuna hata mademu...

Mimi nasema Mungu ameniumba ili kustarehe na ushahidi unao sopati hoja yangu upo kwenye nature na upo kwenye mwili wangu yani kwenye mwili wangu Mungu amenipa viungo maalumu kwa ajili ya kufanya starehe.

Hebu wewe unaesema Mungu amekuumba ili umuabudu tuonyeshe kitu chochote kwenye nature ambacho kina prove hoja yako. Onyesha kitu chochote kwenye mwili wako ambacho kina suggest kwamba Mungu alikiweka kwenye mwili wako ili ukitumie kumuabudu...

Unaweza kuishi maisha yako yote bila kwenda msikitini wala kanisani na chochote kisitokee lakini huwezi ishi hata wiki moja tu bila kufanya starehe ..


Starehe

Starehe
Starehe.
 
That is love.

Kama nakupa chakula ili one hilo sio hitaji langu. Ni upendo
Sasa kwanini isiwe upendo ninapokwambia uniabudu laah utaungua moto.
Ni kama nikikupa chakula ule laa sivyo utakufa njaa.
 
sisi ni kama mazao tu alietupanda ndo anajua kazi ya hayo mazao tulieni tuwe wengi tuje tuvunwe tu,na uzuri alietupanda hapa duniani alituwekea upwiru natunajua kuutumia tuujaze sasa!,mpaka sasa namba inasoma bill 8.. 😃

GODS ARE TOO QUIET.
 
sisi ni kama mazao tu alietupanda ndo anajua kazi ya hayo mazao tulieni tuwe wengi tuje tuvunwe tu,na uzuri alietupanda hapa duniani alituwekea upwiru natunajua kuutumia tuujaze sasa!,mpaka sasa namba inasoma bill 8.. 😃

GODS ARE TOO QUIET.
You are the true son of your father.

Alie tuleta duniani ndio anajua sababu hasa kwanini ametuleta kwenye sayari hii ingawa Mimi ninajua sababu hasa ni sisi tufanye starehe.

Ndio maana hapo mwanzo kabisa alisema " Enendeni mkazaliane muijaze dunia"

Elewa maana ya neno " kuzaliana".


Nawasikitikia sana ambao bado hawajastukia hii siri. Wanajistress bure tu masikini
 
Kumwabudu mungu nikama kuwa tembelea wazazi walio kuzaa

Na kutoa sadaka nikama kuwapa zawadi wazazi kwa kuku Lea

je nivibaya kufanya hivyo?

Wacha kujistress mkuu.. umeumbwa ili ufanye starehe period.

Unamtembelea Mungu wewe unapajua Mungu anapokaa?

Alie kuumba mwenyewe alishakwamba toka mwanzo kabisa " Nenda ukazaliane uijaze dunia" .

Elewa maana ya neno " kuzaliana"
 
Kama unavyo amini Mungu yupo basi amini na Mfundisho yake, USIAMBUKIZE UJINGA
 
Back
Top Bottom