Nimegundua kusudi lililo nileta duniani. Nimeanza kuliishi kusudi hilo na linanilipa

Nao
Naomba kufahamu mfano wa starehe unazozizungumzia......
 
Lengo la MUNGU kutuumba sisi ni ......
26 Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi.
Mwanzo 1:26
 
Lengo la MUNGU kutuumba sisi ni ......
26 Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi.
Mwanzo 1:26
Mungu huyo huyo alisema " Nendeni mkazaliane muijaze dunia"
 
imeandikwa kwenye vitabu vya imani " enendeni mkazaliane muijaze dunia" .

Elewa maana ya neno " mkazaliane"
Ukisoma vizuri maandiko utagundua kwamba kabla ya dhambi ....hakuna Fungu linalosema Adam na Hawa wakanyanduana.....hio starehe naiona baada ya dhambi Adam akamjua mkewe ....kunyanduana ni matokeo ya dhambi...
 
Bora wewe umejipata starehe bwana kuwa huru kabisa,kula maisha na mtu asikushitaki kwa chochote,
Ila tu usivunje sheria za jamhuri
 
Ukisoma vizuri maandiko utagundua kwamba kabla ya dhambi ....hakuna Fungu linalosema Adam na Hawa wakanyanduana.....hio starehe naiona baada ya dhambi Adam akamjua mkewe ....
Za kuambiwa changanya na zako mkuu.

So unataka kusema Mungu alimuumba Adamu akampa dushe akamuumba Hawa akampa papuchi ili wavitumie kufungia maandazi ama?
 
Bora wewe umejipata starehe bwana kuwa huru kabisa,kula maisha na mtu asikushitaki kwa chochote,
Ila tu usivunje sheria za jamhuri
Ur the true son of your father. Go at any bar near you and tell them to give you two bottles of red wine and two females. Talaka ( bili) niletee Mimi ntalipa
 
"Ninyi mnadai ya kwamba Mungu ametuumba ili tumuabudu. Je tusipo MUABUDU atapungukiwa na kitu gani?"

.
Hapungukiwi lolote, umepewa uhuru wa kuchagua cha kufanya hapa duniani, ila ukirejea kwake yeye ndiye mwenye maamuzi juu yako kama alivyo amua kukuleta hapa duniani.
 
Kusema tumeumbwa kuabudu ni sawa na kusema mzazi amezaa ili asalimiwe.

Salamu ni heshima, mzazi akiipata anafarijika ila ukimnyima anasononeka hakuna zaidi ya hapo. Haiongezi wala kupunguza chochote zaidi ya kufarijika na kusononesha.

Inawezekana kwa MUNGU ni hivyo hivyo. Ibada inamfariji, inamfurahisha. Kutokufanya ibada kunamsononesha na hakuna zaidi ya hapo.(HII NI KWA WANAOAMINI, KAMA HUAMINI KUHUSU MUNGU HAIKIHUSU)

Kuhusu kuja duniani kufanya starehe ni sawa na kusema mtoto yupo ili acheze. Ukishasalimia na kuzungumza na mzee au mama unaenda kicheza kwa raha zako na mzazi anakutazama unavyocheza na anafarijika. (HII NI KWA WANAOAMINI, KAMA HUAMINI KUHUSU MUNGU HAIKIHUSU)

Ukishafanya ibada au kusali nenda kastarehe kwa raha zako huku ukizingatia miongozo ya dini uliyochagua kuiamini.
 
Haya ni mahusiano ya baba na mwana
Hivi wewe unaweza kumuamulia mwanao aliyekwishajipata afanye unavyotaka?
Baba na mwana huwezi fananisha na Mungu na viumbe wake, Mungu amekupa uhuru wa kuchagua lakini pia amekupa sheria na taratibu za kufuata ili ujue ni lipi jema na lipi baya.
 
Wewe ndo umeharibu kabisa mkuu yani ume mu-humanize Mungu. Mungu na kusononeka wapi na wapi mkuu?

Mungu anahitaji faraja? Nitake radhi mkuu

Ili mtu aweze kukusononesha ni lazima wewe usiwe na uwezo wa kujua atakacho kifanya hapo baadae.

Mungu anayajua maisha yako yote hata kabla hujaumbwa. Chochote utakacho kifanya sasa hivi, hawezi kuwa surprised kwa sababu alisha kijua hata kabla hajazaliwa. He is not a human being.

Please stop thinking of God like that.
 
BTW, heaven will be the most boring place to be. Imagine utakuwa unaabudu 24/7, unaimba 24/7, kula asali, matunda na maziwa....really boring!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…