Nimegundua kusudi lililo nileta duniani. Nimeanza kuliishi kusudi hilo na linanilipa

Wacha kujistress mkuu.. umeumbwa ili ufanye starehe period.

Unamtembelea Mungu wewe unapajua Mungu anapokaa?

Alie kuumba mwenyewe alishakwamba toka mwanzo kabisa " Nenda ukazaliane uijaze dunia" .

Elewa maana ya neno " kuzaliana"
Yule mwanamke uliyrmfuata Mtwara/Lindi ndiyo anataka tuamini hayo?
 
Nini maana ya "kumuabudu"?
 
I second this
 
Wewe kijana nimesha kukanya. Mungu hapati faida wala hasara... faida na hasara ni masuala ya wanadamu. Mungu amekamilika. Anajitosheleza. Hahitaji chochote kutoka kwetu.
 
Mwanzo 6: 6 inasema " Mungu alijuta kwanini alimuumba mwanadamu".

Hiyo ni lugha ya kiroho imetumika hapo wala haimaanishi kwamba eti Mungu alijutia kumuumba mwanadamu. Je Unataka nikwambie maana yake?

1. Mungu hawezi kuhuzunika.

2. Mungu hawezi kupatwa na hasira.

Mungu hawezi kuhuzunika kwa sababu nothing surprises him. He lives above the time. In the realm of the spirits, the past, present and future exist in the same now..


Mungu hawezi kuhuzunishwa na chochote kwa sababu yeye ni mwanzo na mwisho. Mambo yote alisha yaona hata kabla hayajatokea. So hakuna kinacho msurprise. Ili uweze kuhuzunishwa na jambo ni lazima kwanza uwe hujui nini kitatokea mbele..


Mungu hawezi kupatwa na hasira. Hakuna kitu kinacho weza kumkasirisha Mungu kwa sababu;


1. Ili jambo liweze kukukasirisha ni lazima iwe kitu ambacho hukukitarajia. Mungu anajua kila kitu utakacho kifanya hata kabla haujazaliwa. Unapo fanya jambo baya unakuwa hujamsurprise Mungu kwa sababu tayari alisha jua. So hawezi kukasirika..


Pili : Kama wewe mwanadamu unaweza kumfanya Mungu akasirike basi tafsiri yake ni kwamba wewe unaweza ku control " emotions" za Mungu. Unaweza ku control how God think. Jambo ambalo haliwezekani.

Wewe mwanadamu huna uwezo wa kumfurahisha wala kumkasirisha Mungu.


Hupaswi kujipa umuhimu huo kwa Mungu kabisa.

Kuna mlokole mmoja alikuwa na imani hiyo basi siku moja akawa anasali anamtishia Mungu kwamba endapo hato mpa mtaji wa biashara basi atakuwa shoga.
 
100% correct
 
Sawa boss.
 
BTW, heaven will be the most boring place to be. Imagine utakuwa unaabudu 24/7, unaimba 24/7, kula asali, matunda na maziwa....really boring!!
Good news is, it doesn't even exist..
We came a long way with their faith just to realize we were lost.
 
Unaweza kuishi maisha yako yote bila kwenda msikitini wala kanisani na chochote kisitokee lakini huwezi ishi hata wiki moja tu bila kufanya starehe ..
Kuwa makini na hii theologia yako haijawa kamilifu na ina makosa mengi. Unatumia Maandiko (Biblia) kujenga hoja e.g. Mungu alistarehe baada ya uumbaji; tafsiri nyingine za Biblia zinasema Mungu alipumzika baada ya uumbaji.

Pili kwa kuwa unaamini Biblia na unaitumia kuhalalisha vipengele flani flani basi ujue kuwa kuna vipengele vingi tu kwenye Biblia je navyo unaviishi? Mfano; kutoa zaka, kutoa sadaka, kufanya kusanyiko takatifu, kutembelea yatima na wajane na mengi mengine. Je unayashika hayo kama unavyoshika hilo suala la kustarehe? Au umeshika jambo la kustarehe tu kwa sababu unapenda hilo tu?
 
Mnahangaika sana kumuongelea huyo Mungu kwa vile hajawahi kuwepo na hayupo kujiongelea mwenyewe.

Mmemtunga huyo Mungu vichwani mwenu na kumuundia sifa zake.

Human beings created God through assumptions based on things beyond their imaginations.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…