1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
- Thread starter
-
- #41
umeongea ukweli,Ila usituamini sana wanawake mkuu unaweza ingizwa choo cha kike wapo wanaobana matumizi kwaajili ya maendeleo kweli una wengine wanabana matumizi kwaajili ya kufanya ushenz
Huo ubinafsi wengi wao hauwasaidii. Zaid ya kutaka kila kitu kiwe chao. Na hapo ndipo wanapokosea. Wanatakiwa kujua kuwa si kila kitu nichakwaohuo ubinafsi ndo unawasaidia sasa
mpe pole, mwambie mm nipo nazurura humuOooh basi kala waya,kavuruga mjadala.Kesho atakuwepo hapa
Si bora hata ... wengi ubahili mnao ipa maendeleo hamna. Lakin si woteSio ubinafsi ni ubahili,na bila ubahili maendeleo hayawezi kuwepo
twende nao taratibu tuHuo ubinafsi wengi wao hauwasaidii. Zaid ya kutaka kila kitu kiwe chao. Na hapo ndipo wanapokosea. Wanatakiwa kujua kuwa si kila kitu nichakwao
Wangekuwa na akili hio hio kutafuta ingependeza zaidi.Tuwapende sana ikibidi tuwaombe ushauri sana wa kimaisha,, tusikae sana mbele yao,, tuwashirikishe sana ktk mipango yetu,, tusiwadharau kabisa,
Tunajuana akili zeti mkuiumeongea ukweli,
Si bora hata ... wengi ubahili mnao ipa maendeleo hamna. Lakin si wote
Tunafanya ubinafsi kwa kutambua fika wanaume hawawezi wakapangilia kila kitu kikasimama,sasa ili kufanikiwa inabidi wote muwe na ubinafsi mmoja kwa malengo mamoja.Ikiwa kila mtu ana malengo yake lazima usielewe kwanini mwenzio anakua mbinafsi na hujui hela zake anapeleka wapiHuo ubinafsi wengi wao hauwasaidii. Zaid ya kutaka kila kitu kiwe chao. Na hapo ndipo wanapokosea. Wanatakiwa kujua kuwa si kila kitu nichakwao
Nikupe kisa kimoja....Huo ubinafsi wengi wao hauwasaidii. Zaid ya kutaka kila kitu kiwe chao. Na hapo ndipo wanapokosea. Wanatakiwa kujua kuwa si kila kitu nichakwao
True...mwanamke ukijua kumtumia lazima ufike mbali.Tuwapende sana ikibidi tuwaombe ushauri sana wa kimaisha,, tusikae sana mbele yao,, tuwashirikishe sana ktk mipango yetu,, tusiwadharau kabisa,
wanajua kutafuta aiseehWangekuwa na akili hio hio kutafuta ingependeza zaidi.
utuibie siri basiTunajuana akili zeti mkui
umeona sasa, kumbe wangekubaliana huenda miradi ingekuwa ya mzeeNikupe kisa kimoja....
Yupo dada mmoja kwao ye ndo msomi,karibia robo tatu ya ukoo wake unamtazama yeye,kaolewa na mwanaume ambae kwao hakuna majukumu yoyote.Dada alipojaribu kumwelekeza mmewe bajeti ya mshahara wake ambae kias kikubwa anasaidia kwao,mume aling'aka kwa madai mbona yeye hatoi hela kwao.Ilibidi dada akubali kuwa hatatuma pesa yoyote kwao,akaanza sasa harakati za kuhudumia familia yake kisirisiri na akafanikiwa kujenga nyumba kubwa mbili kwao bila mume kujua.Mpaka sasa dada ana miradi mbali mbali tu mjini ya kumuingizia pesa na mume hajui kwa kuwa tu hawakua na malengo yanayofanana,mume amekaa analalamika kuwa hajui pesa za mkewe zinapoenda
nimeshawatambua, natumia vizur hii golden chanceTrue...mwanamke ukijua kumtumia lazima ufike mbali.
[emoji23] [emoji16] kweli kabisaNimependa ugunduzi wako
sasa huoni sisi ni wazwazwa mkuu,, hii ndo akili mzee baba,, sie twawaza kutumbua na michepuko siku ukilazwa hospital hakuna hata mmoja atakaye kuja kukuona, ila mke atahangaika kukuhudumia,, chunga saana marafiki wa bar wasijielewa mkuiWanachojua wanawake wengi (sio wote) ni kufanya bajeti ya maana nyumbani.
Wewe unaweza kwenda kutumia labda 20k kwa kula chakula cha 6k na nyingine ukanywa beer hela ikaisha chap na bado hujaonga
Ila ukimpa mwanamke hiyo 20k nyumbani anaweza kununua chakula cha kuliwa mara 3 au 4 na watoto.
Ndio maana namshukuru rafiki yangu Sadick kwa kunijuza kuwa ukishaoa gharama ya maisha inapungua kuliko kutokuoa.
Hamna sehemu imeandikwa hivyomkuu kumbuka wenzetu wameumbwa kupokea kutoka kwetu