Nikupe kisa kimoja....
Yupo dada mmoja kwao ye ndo msomi,karibia robo tatu ya ukoo wake unamtazama yeye,kaolewa na mwanaume ambae kwao hakuna majukumu yoyote.Dada alipojaribu kumwelekeza mmewe bajeti ya mshahara wake ambae kias kikubwa anasaidia kwao,mume aling'aka kwa madai mbona yeye hatoi hela kwao.Ilibidi dada akubali kuwa hatatuma pesa yoyote kwao,akaanza sasa harakati za kuhudumia familia yake kisirisiri na akafanikiwa kujenga nyumba kubwa mbili kwao bila mume kujua.Mpaka sasa dada ana miradi mbali mbali tu mjini ya kumuingizia pesa na mume hajui kwa kuwa tu hawakua na malengo yanayofanana,mume amekaa analalamika kuwa hajui pesa za mkewe zinapoenda