Nimegundua kuwa Wanawake wana akili ya kutumia pesa vizuri kuliko sisi

Si bora hata ... wengi ubahili mnao ipa maendeleo hamna. Lakin si wote
Huo ubinafsi wengi wao hauwasaidii. Zaid ya kutaka kila kitu kiwe chao. Na hapo ndipo wanapokosea. Wanatakiwa kujua kuwa si kila kitu nichakwao
Tunafanya ubinafsi kwa kutambua fika wanaume hawawezi wakapangilia kila kitu kikasimama,sasa ili kufanikiwa inabidi wote muwe na ubinafsi mmoja kwa malengo mamoja.Ikiwa kila mtu ana malengo yake lazima usielewe kwanini mwenzio anakua mbinafsi na hujui hela zake anapeleka wapi
 
Huo ubinafsi wengi wao hauwasaidii. Zaid ya kutaka kila kitu kiwe chao. Na hapo ndipo wanapokosea. Wanatakiwa kujua kuwa si kila kitu nichakwao
Nikupe kisa kimoja....
Yupo dada mmoja kwao ye ndo msomi,karibia robo tatu ya ukoo wake unamtazama yeye,kaolewa na mwanaume ambae kwao hakuna majukumu yoyote.Dada alipojaribu kumwelekeza mmewe bajeti ya mshahara wake ambae kias kikubwa anasaidia kwao,mume aling'aka kwa madai mbona yeye hatoi hela kwao.Ilibidi dada akubali kuwa hatatuma pesa yoyote kwao,akaanza sasa harakati za kuhudumia familia yake kisirisiri na akafanikiwa kujenga nyumba kubwa mbili kwao bila mume kujua.Mpaka sasa dada ana miradi mbali mbali tu mjini ya kumuingizia pesa na mume hajui kwa kuwa tu hawakua na malengo yanayofanana,mume amekaa analalamika kuwa hajui pesa za mkewe zinapoenda
 
umeona sasa, kumbe wangekubaliana huenda miradi ingekuwa ya mzee
 
Wanachojua wanawake wengi (sio wote) ni kufanya bajeti ya maana nyumbani.

Wewe unaweza kwenda kutumia labda 20k kwa kula chakula cha 6k na nyingine ukanywa beer hela ikaisha chap na bado hujaonga

Ila ukimpa mwanamke hiyo 20k nyumbani anaweza kununua chakula cha kuliwa mara 3 au 4 na watoto.

Ndio maana namshukuru rafiki yangu Sadick kwa kunijuza kuwa ukishaoa gharama ya maisha inapungua kuliko kutokuoa.
 
sasa huoni sisi ni wazwazwa mkuu,, hii ndo akili mzee baba,, sie twawaza kutumbua na michepuko siku ukilazwa hospital hakuna hata mmoja atakaye kuja kukuona, ila mke atahangaika kukuhudumia,, chunga saana marafiki wa bar wasijielewa mkui
 
Back
Top Bottom