mtafuta-maisha
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 1,982
- 2,931
- Thread starter
-
- #101
Mbona unapanic???Unababaika tu.
Tena nyie mnaokomalia ushoga kwa mbwembwe na kugaragara ndio huwa mashoga wakubufu.
Jitazame sana!
Kupanga ni kuchagua muda wakuoa bado watu hatuoi kwa bahati mbaya tumeweka umri flani ndipo tunaoa.Halafu inaonekana una maisha mazuri na hauna mke au hata girlfriend wa kushinda hapo kwako usiku , mmmh ,wewe hebu funguka bwana.
Halafu inaonekana una maisha mazuri na hauna mke au hata girlfriend wa kushinda hapo kwako usiku , mmmh ,wewe hebu funguka bwana.
Yaani huyo dogo katisha, nawaza huo ujasiri wa kunyonywa dushe na mwanaume mwenzake aliupata wapi!!
Aliwazalo mjinga ndilo kitakalo mtokea...Yeye huwa anatembelewa na Huyo Mdogo wake usiku!
Ukiona Manyoya Jua amesha......
Ushoga wala sio big deal, ni mbwembwe zako tu za kujibaraguza baraguza na kujikikisha.Narudia tena kama wewe ukitongozwa na shoga wajivunia waona kama ni kiki, basi ni wewe mimi kwangu ni mkosi kutongozwa na shoga.
Sikulazimishi kuamini unaweza kuamini ulivyoamua kuamini siyo tatizo...
Sawa Mungu azidi kukujalia uweze kuwa mtabiri maana inaelekea ni kazi unayoipenda...Ushoga wala sio big deal, ni mbwembwe zako tu za kujibaraguza baraguza na kujikikisha.
Aliwazalo mjinga ndilo kitakalo mtokea...
Dunia imeshavuka hilo daraja
Watoto wa Kiume Siku hizi sio Ajabu ukiskia wamegombama kisa wanagombania Bwana
Humu ni jf usimwite na kumuimagine mtu usiyemjua unayemwita dogo anaweza akawa kakuzidi umri mara mbili..Kuwa Makini bwana mdogo
Humu ni jf usimwite na kumuimagine mtu usiyemjua unayemwita dogo anaweza akawa kakuzidi umri mara mbili..
Narudia tena soma vizuri alikuja kalewa akaja na chupa moja ya red label katika kuongea akaniambia alikotoka kanywa chupa mbili za black label.Wewe jamaa unajua chupa tatu za red label or unaongea tu??
Mimi ni makini kuliko umakini wenyeweFuta neno mdogo weka Mkubwa Halafu zingatia ushauri
Tena hivi vya 16-25 vinajifunza kulewa ndio vinapakuliwa Kama Ubwabwa!Daaah!! Kweli wanaume tunazidi kupungua!!