mtafuta-maisha
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 1,982
- 2,931
- Thread starter
- #101
Mbona unapanic???Unababaika tu.
Tena nyie mnaokomalia ushoga kwa mbwembwe na kugaragara ndio huwa mashoga wakubufu.
Jitazame sana!
Sikulazimishi kuamini unachokiamini nimeandika nilichokiandika kama mimi kama unataka andika tofauti jukwaa huru andika pia.
Kuandika nilichokiandika ndilo lilikuwa lengo langu kuamini au kutoamini ni uamuzi wa msomaji.