Nimegundua kwamba jirani yangu mchicha mwiba

Nimegundua kwamba jirani yangu mchicha mwiba

Unababaika tu.

Tena nyie mnaokomalia ushoga kwa mbwembwe na kugaragara ndio huwa mashoga wakubufu.

Jitazame sana!
Mbona unapanic???
Sikulazimishi kuamini unachokiamini nimeandika nilichokiandika kama mimi kama unataka andika tofauti jukwaa huru andika pia.
Kuandika nilichokiandika ndilo lilikuwa lengo langu kuamini au kutoamini ni uamuzi wa msomaji.
 
Halafu inaonekana una maisha mazuri na hauna mke au hata girlfriend wa kushinda hapo kwako usiku , mmmh ,wewe hebu funguka bwana.
Kupanga ni kuchagua muda wakuoa bado watu hatuoi kwa bahati mbaya tumeweka umri flani ndipo tunaoa.
Siyo kila siku mpenzi aje kushinda kwangu unless naye hana kazi ya kufanya...
Tunashinda wote hata mwezu mzima ila siyo kila siku maana naye anakuwa bsy na kutafuta pesa.
Kuhusu kuwa na maisha mazuri sijui maisha mazuri umepima kwa kutumia vigezo gani?
 
Yaani huyo dogo katisha, nawaza huo ujasiri wa kunyonywa dushe na mwanaume mwenzake aliupata wapi!!
 
Yaani huyo dogo katisha, nawaza huo ujasiri wa kunyonywa dushe na mwanaume mwenzake aliupata wapi!!

Dunia imeshavuka hilo daraja

Watoto wa Kiume Siku hizi sio Ajabu ukiskia wamegombama kisa wanagombania Bwana
 
Narudia tena kama wewe ukitongozwa na shoga wajivunia waona kama ni kiki, basi ni wewe mimi kwangu ni mkosi kutongozwa na shoga.
Sikulazimishi kuamini unaweza kuamini ulivyoamua kuamini siyo tatizo...
Ushoga wala sio big deal, ni mbwembwe zako tu za kujibaraguza baraguza na kujikikisha.
 
Ushoga wala sio big deal, ni mbwembwe zako tu za kujibaraguza baraguza na kujikikisha.
Sawa Mungu azidi kukujalia uweze kuwa mtabiri maana inaelekea ni kazi unayoipenda...
Kama kwako siyo big deal mimi kwangu ni big deal ni kitu kigeni na ambacho hakikubariki kwangu.
Kumbe kwako ni kawaida.
 
Research haijapitiliza mkuu...


Hiyo tunasema 'for research purposes'
 
Wewe jamaa unajua chupa tatu za red label or unaongea tu??
Narudia tena soma vizuri alikuja kalewa akaja na chupa moja ya red label katika kuongea akaniambia alikotoka kanywa chupa mbili za black label.
Na nasisitiza mimi siyo mnywaji hata hiyo red label nilikunywa kidogo tu sasa kumbishia siwezi maana kwanza ndiyo mara ya kwanza mimi kunywa red label hivyo sizijui
 
Daaah!! Kweli wanaume tunazidi kupungua!!
Tena hivi vya 16-25 vinajifunza kulewa ndio vinapakuliwa Kama Ubwabwa!
Kanajifunza kulewa kwa bia za offer Halafu anaogopa
Kurudi nyumbani na Mipombe hivyo anatafuta rafiki Mwenye ghetto ajistiri ndo wanapoharibiwa
Wazazi wanahusika sana na uharibifu huu

Inakuaje uruhusu Mtoto/ Kijana wako alale nje bila ya taarifa hata Kama ni wa Kiume ?
 
Back
Top Bottom