Kuna idadi kubwa sana ya wanaume kugeuka kuwa wanawake.
Nakumbuka 2015 nikiwa ofisi moja nilikuwa napewa taarifa za jamaa mmoja anafanya kazi kwenye ile ofisi ni Shoga kiukweli huna wakosa hamu na hawa viumbe ninaposikia mtu anajibadili kuwa mwanamke, Basi yule jamaa alikuwa kaenda likizo ya kikazi alivyorudi tukapangwa kufanya kazi pamoja, siku moja tukiwa kwenye kikao cha wafanyakazi akaanza wangapi hapa wanatumia pombe nikajua tayari kund. U limewasha maana tulikuwa pale kama wafanyakazi 4 hivi wageni ila mimi taarifa zake nilikuwa nazo zote wanaume wakanyoosha mikono watumiaji wa pombe.
Usiku si mmoja kati ya wale wafanyakazi akaenda nae kunywa pombe baada ya pombe kukolea jamaa wakaondoka kwenda kwake (kilichotokea wanajua wenyewe) aliwahi kukamuliwa Lodge moja na wasanii 2 wakubwa tu hapa nchini kwenye tamasha.
Kiukweli bora nirudi kupiga punyeto ila sio kufanya ujinga wa namna hii wanawake watamu sana.